Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
What? Wee uko serious kweli? Mbona huyo Mr Mzungu tulimalizana naye 4 good kama tulivyomwahidi, ilee Oktoba 28 kwenye ishu ya risasi tatu -- Rais, Wabunge & Madiwani? Sisi tunamove on na vitu zingine. No taimu to "west" with him. Au hujaona ratiba ya kijani inatrend mitandaoni???Well, nafikiri mkimalizana na Lissu bado mtaenda kwa yule mnayehisi ana hujuma mbaya na Raisi..nyama ya mtu ni tamu be aisee.