Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Well, nafikiri mkimalizana na Lissu bado mtaenda kwa yule mnayehisi ana hujuma mbaya na Raisi..nyama ya mtu ni tamu be aisee.
What? Wee uko serious kweli? Mbona huyo Mr Mzungu tulimalizana naye 4 good kama tulivyomwahidi, ilee Oktoba 28 kwenye ishu ya risasi tatu -- Rais, Wabunge & Madiwani? Sisi tunamove on na vitu zingine. No taimu to "west" with him. Au hujaona ratiba ya kijani inatrend mitandaoni???
 
What? Wee uko serious kweli? Mbona huyo Mr Mzungu tulimalizana naye 4 good kama tulivyomwahidi, ilee Oktoba 28 kwenye ishu ya risasi tatu -- Rais, Wabunge & Madiwani? Sisi tunamove on na vitu zingine. No taimu with him. Au hujaona ratiba ya kijani inatrend mitandaoni???
Tatizo mna hila mbaya na kuona kama hamtamaliza term yenu ya miaka saba.
 
Huju ulisemalo, dikteta yeyote hata jani likimgusa tu be ataamuru majani yafyekwena kupigwa risasi!
Sawa lakini hata hao madikteta wana akili, hawawezi muua mpinzani kipindi hiki, itakuwa ni uzembe wa hali ya juu.
Inakuaje mnaamini kila kitu bila kureason? Lema auwawe kwa lipi yaani?
 
Yajayo yanafurahisha,tulikuwa tunawapokea Wakongo,Wasomali,Waithiopia, Nk kama wakimbizi waliokimbia maisha ya mateso Nchi mwao

Sasa tutapokelewa Sisi, halafu anatokea mpuuzi anasifu awamu hii....

Nchi inameguka,nchi ikakwenda mrama,mnaoshangilia shangulieni, Lakini mjue yajayo yatamkuta Lila mtu alie CCM na asie CCM..
Yaani Mr Hai ashindwe ubunge tu ndiyo iwe kisa?
 
Sawa lakini hata hao madikteta wana akili, hawawezi muua mpinzani kipindi hiki, itakuwa ni uzembe wa hali ya juu.
Inakuaje mnaamini kila kitu bila kureason? Lema auwawe kwa lipi yaani?
Dah, kama wewe umefika angalau level ya digrii kibongobongo basi wewe ni hasara.
Hakuna mtu timamu asiyejua consequences za G Lema.
 
Sawa lakini hata hao madikteta wana akili, hawawezi muua mpinzani kipindi hiki, itakuwa ni uzembe wa hali ya juu.
Inakuaje mnaamini kila kitu bila kureason? Lema auwawe kwa lipi yaani?
Halafu, by the way, dikteta ni yule anayetamani madaraka kwa nguvu wakati hakufikisha hata kura 2M
 
Yaani Mr Hai ashindwe ubunge tu ndiyo iwe kisa?
Hamna Mkuu, hali iko mbaya kwa nchi yangu pendwa

LISSU anaishi ubalozi wa Germany huyu ni Chadema

Habari zinasema LEMA yuko ubalozi wa Marekani Kenya kenda kuomba ukimbizi, huyu ni Chadema

Mazurui yuko ndani chini ya uangalizi wa Polisi, ukweli hajulikani yuko kituo gani, huyu ni ACT-WAZALENDO

na wengi mengineo

Kama unafurahia hii hali kwa utashi wa siasa basi furahia ni haki yako..

Kwa upande wangu naona AIBU kuwa Mtanzania kwa sasa
 
dah, kama wewe umefika angalau level ya digrii kibongobongo basi wewe ni hasara.
Hakuna mtu timamu asiyejua consequences za G Lemma.
Degree ya kazi gani? Hako kadegree uliko nako unajiona msomi umeyapatia maisha? So sad... Lema ni jambazi..hakuna zaidi ya hapo.
 
Halafu, by the way, dikteta ni yule anayetamani madaraka kwa nguvu wakati hakufikisha hata kura 2M
Kwahiyo unaamini Lissu alipata kura nyingi zaidi ya Magufuli? Anaweza akawa na wafuasi wengi lakini hajapata kura za kuzidi.
 
Degree ya kazi gani? Hako kadegree uliko nako unajiona msomi umeyapatia maisha? So sad... Lema ni jambazi..hakuna zaidi ya hapo.
Mkamateni na badala ya kumpa kesi ya robbery mpeni ya uhujumu uchumi kama kawaida yenu.

Chenye mwanzo hakikosi mwisho.!
 
Hamna Mkuu,hali iko mbaya kwa nchi yangu pendwa

LISU anaishi ubalozi wa Germany huyu ni Chadema

Habari zinasema LEMA yuko ubalozi wa Marekani Kenya kenda kuomba ukimbizi,huyu na Chadema

Mazurui yuko ndani chini ya uangalizi wa Polisi, ukweli hajulikani yuko kituo gani, huyu ni ACT-WAZALENDO

na mengi mengineo,..kama unafurahia hii hali kwa utashi wa siasa basi furahia ni haki yako..

Kwa upande wangu naoa AIBU kuwa Mtanzania kwa sasa
Nchi ipo vizuri.. walioenda ubalozini wameenda kwa mapenzi yao wenyewe. Wabaki huko huko...
 
.

UPDATE: LEMA KURUDISHWA TANZANIA KESHO

Kenya imesema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema atarudishwa Novemba 9, 2020 baada ya kwenda nchini humo kutafuta hifadhi kwa UNHRC

Lema anayeshikiliwa Kituo cha Polisi cha Kajiado amedai maisha yake yapo hatarini
Naona tafsiri zinajichanganya
 
LEMA bila siasa atafanya mishe gani ili aweze kuishi?
 
Back
Top Bottom