4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Acha porojo mkuu, taifa laingia kuzim we washangiliaKumbuka pia mtu anaweza kutumia mwanya huo kufanya kweli. Matukio ya kutengeneza yanawawekeni kwenye tashwishwi ya kutoaminika japo kwa sentimita moja.
Tunpambana na wapinga maendeleo, vibaraka wa mabeberu. Vita ya kiuchumi.I hope this is fake news.
Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?
Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...www.jamiiforums.com
Too much exaggerations + misrepresentations of factsNchi imefika mahali ambapo wengine hawana haki na nchi yao, wamegeuzwa wakimbizi ndani ya nchi yao. kwa mara ya kwanza ndani ya Tanzania raia wanapigwa risasi kama nguruwe wezi wa mihogo wakati vitendo Kama hivi tulikuwa tunavisikia kwa majirani zetu.
Lissu alikuwa na nini!Lema ana madhara gani wajameni.?
~hana bunduki
~hana jeshi
~hata jiwe hana
au mdomo wake umekuwa kifaru?
Tulikuonya tangu mapema kwamba Shetani hana rafiki , bado wewe
Big problem hiyoHawezi kutumia ulimi wake vizuri kama wengine hawatumii ya kwao vizuri, Kuna watu wana jazba hata ukiwajibu vizuri wao wanakubwatukia tu.
Yaani mtu ana gubu utafikiri nini sijui...analazimisha ukubaliane na mawazo yake,kila lisemwalo uamini bila kuhoji.
Well, nafikiri mkimalizana na Lissu bado mtaenda kwa yule mnayehisi ana hujuma mbaya na Raisi..nyama ya mtu ni tamu be aisee.Lazima tumwogope kwa sababu ajenda yake kuu ni kuzua fujo na machafuko; hataki kuona Tanzania ikifanikiwa na kusonga mbele.
Aisee, la maandamano lishaisha, nashangaa mnafake hadi barua ya Makene, hamjishtukii?😄😄Eeh bana eh hebu niache kamanda, mimi naugulia machungu ya makamanda wetu kujificha huku wakiomba ukimbizi. Sasa hata sijui tutaingiaje barabarani manaake nilifikiri makamanda wetu wakuu ni majasiri.
Tutamuuliza Kambona na mzee JumbeMwl JK Nyerere alituwachia nchi inaitwa kusiwa cha Amani
Aisee!Binafsi nisichangie chochote kumhusu.
Siku mchepuko wako ukibambikiziwa kesi na wewe ukapigwa walau turisasi tuwili mwilini ndio utaamini! Kwa sasa endelea kukenua meno!Ila tu. kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha, tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.
Mbona hapa kitaa barida tu.
Umeandika vitu gani hivi sasa???Hacha porojo mkuu, taifa laingia kuzim we washangilia
Hiko hivi mkijifanya ngangali mwafaa, wapinzani sio wajinga na watz sio wajinga,
Kwa taharifa yako tifa mpaka mda huu limejaa upepo inasubiliwa lipuka basi
Unaongozaze taifa ambalo Lina nyufa, kamati ya fitina ya ccm imechemka pakubwa mkuu
Wewe unadhani hivyo ila umebugi sana !Lema ananyea debe, hahahahha hahahahah hahahaha hahahaha hahahaha, ...
Huju ulisemalo, dikteta yeyote hata jani likimgusa tu be ataamuru majani yafyekwena kupigwa risasi!Lema hana tishio lolote,na kama kuuwawa sio kipindi hiki, hata hao wauwaji wana akili.
Jiwe & co ni hatari kwa upinzani kuliko corona!Kenya kuna korona atageuka tu
Inabidi tuone sifa kujiita negroes kamanda, ha ha ha.Aisee, la maandamano lishaisha, nashangaa mnafake hadi barua ya makene, hamjishtukii?😄😄
Umeandika vitu gani hivi sashu