Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Asante kwa kutukumbusha huyu Ex jambazi akishirikiana na Geshi lililokuwa limeoza.Lema hana lolote sana sana labda anataka kurudi kwenye kazi yake ya wizi wa magari toka Tanzania na kuyauza Kenya!
Hata Saanane na Lissu mlisema ni stunts yaliyotokea baadae sikuona mkikiri mlipotoka kuwaza ni stunts!!Stunt
Lema hakuuawa alipokuwa mbunge leo sio mbunge kabakiwa na suruali nani anataka kumuua?
Lema ni threat kwa nani??
Kama personal issue alikabili tu
Hawezi kuwa fair huyo mke mdogo wa kada, she's totally mad about dictatorship regime!Asante jitahidi kuwa fair tu
hana jeshi.Mwenye kipi ndiye anastahili kutishiwa?
Walipigwa risasi ngapi hao uliowataja?Ni kweli.
Lakini pia wapo viongozi wengine waliotishiwa na waliojaribiwa kuuawa ndani ya office za umma na wapo waliouwawa pia.
Kupeleka tuhuma kwa serikali na kushinikiza hizo tuhuma zikubalike kama ukweli ndio shida
Kumbuka
John Pombe Joseph Magufuli
Harrison Mwakyembe
Horace Kolimba
Kwa hiyo umeamini ile nyomi bandia ilikuwa kweli ya kuediti, si ndivyo???Viongozi wa upinzani wanakuwa persecuted hivi halafu watu kimyaa.
Nchi hii wacha tuendelee kupata kibano hadi akili zetu zikae sawa!
Idd Amin alipokuwa anachinja watu kuna mtu aliandamana? Mobutu kuna mtu aliandamana?Binafsi nisichangie chochote kumhusu.
Ila tu. kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha, tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.
Mbona hapa kitaa barida tu.
Tuliza ball Mbwa jikeNikikujibu kama inavyotakiwa ntapigwa ban,alafu ntakuaribia siku kwa majibu yangu.
acha nikupuuze kama utatulia ila ukiendelea,ntakupa majibu ambayo utajuta kunitukana tena.
Embu acheni kushangilia ujinga, kwenye uonevu pazeni sauti. Mnafurahia sababu ni Upinzani lakini mjue kutaanza kuwa na vikundi vya ugaidi watu wakiikosa haki yao kwa amani wanaitafuta kwa mtutu wa bunduki.Kwa hiyo umeamini ile nyomi bandia ilikuwa kweli ya kuediti, si ndivyo???
He is a political refugeeI hope this is fake news.
Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?
Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...www.jamiiforums.com
Very true. Sasa wapo wachache wanaotaka kuitumbukiza kwenye ghasia na machafuko kwa 7bb ya tamaa yao ya madaraka.Mwl JK Nyerere alituwachia nchi inaitwa kusiwa cha Amani
Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?
Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo.
Leo natamani niyameze maneno yangu!
Mweke kwenye ignore list.Wewe mama d unaudhi sijui nifanyeje nisione comment zako [emoji779]️[emoji779]️[emoji119]
Hahaa dah! Shukran jazilan Bw. BJ.Jamaa muungwana sana wewe, ujasiri wako wa kukiri makosa ni wa kipekee. Kila siku najifunza Jambo jipya kutika kwako
Huwa Mr anapenda sana kutumia neno karma. Sasa pengine ile karma ya kufurahia mabaya kwa JPM inamsakama yeye sasa. Ila pole sana. Aachane na siasa, maana siyo saizi yake. Hii ngoma ya wakubwa. Toka lini ngoma ya wapinzani nayo ikakesha. ~ by Hamza Kaamka.Ujinga mtupu mkuu, huyu Lema si ndio yule aliye ota Kisha akaita waandishi wa habari kuwa ameota Rais atakufa kabla ya 2020.
Kama hakufuatwa kuuawa kipindi kile ndo aje awindwe kuuawa leo?
Eeh bana eh hebu niache kamanda, mimi naugulia machungu ya makamanda wetu kujificha huku wakiomba ukimbizi. Sasa hata sijui tutaingiaje barabarani manaake nilifikiri makamanda wetu wakuu ni majasiri.Acha unafiki mkuu, kamanda wako next week anateua baraza.