Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Stunt

Lema hakuuawa alipokuwa mbunge leo sio mbunge kabakiwa na suruali nani anataka kumuua?

Lema ni threat kwa nani??

Kama personal issue alikabili tu
Hata Saanane na Lissu mlisema ni stunts yaliyotokea baadae sikuona mkikiri mlipotoka kuwaza ni stunts!!

Shida TZ kila mtu kujifanya forensic analyst kumbe subjectivity zimetutawala kichwani.
 
Mwenye kipi ndiye anastahili kutishiwa?
hana jeshi.
hana silaha.
hata maneno yake ayadhuru,ni kunguru tu kama kunguru wa Zanzibar.
Maalim,Zito,Mbowe wenye vyama awajatishiwa ndo atishiwe yeye kinyamkela?
Aombe visa kwa utaratibu tu kisha asepe akatafute maisha anapotaka,akuna mwenye time nae.
 
Waliotangaza maandamano wanakimbilia ndani ya balozi kujificha. Upinzani Tz ni vituko
 
Ni kweli.

Lakini pia wapo viongozi wengine waliotishiwa na waliojaribiwa kuuawa ndani ya office za umma na wapo waliouwawa pia.
Kupeleka tuhuma kwa serikali na kushinikiza hizo tuhuma zikubalike kama ukweli ndio shida

Kumbuka
John Pombe Joseph Magufuli
Harrison Mwakyembe
Horace Kolimba
Walipigwa risasi ngapi hao uliowataja?
 
Viongozi wa upinzani wanakuwa persecuted hivi halafu watu kimyaa.

Nchi hii wacha tuendelee kupata kibano hadi akili zetu zikae sawa!
Kwa hiyo umeamini ile nyomi bandia ilikuwa kweli ya kuediti, si ndivyo???
 
Hii nchi imeshakuwa kama Paka, na jwtz wapo wanatazama tu embu saidieni watz wenzenu nyie ni jeshi la wananchi. Polisi tunajua ni policcm
 
Binafsi nisichangie chochote kumhusu.

Ila tu. kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha, tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.

Mbona hapa kitaa barida tu.
Idd Amin alipokuwa anachinja watu kuna mtu aliandamana? Mobutu kuna mtu aliandamana?

Mtu akishakutia hofu hta afanye nni huwezi onyesha wazi. Ndio maana Rwanda pamoja na kagame kuchinja wahutu mamilion hutawahi ona watu wanaandamana ila je ina maana wameridhika na Kagame?
 
Nikikujibu kama inavyotakiwa ntapigwa ban,alafu ntakuaribia siku kwa majibu yangu.
acha nikupuuze kama utatulia ila ukiendelea,ntakupa majibu ambayo utajuta kunitukana tena.
Tuliza ball Mbwa jike
 
Kwa hiyo umeamini ile nyomi bandia ilikuwa kweli ya kuediti, si ndivyo???
Embu acheni kushangilia ujinga, kwenye uonevu pazeni sauti. Mnafurahia sababu ni Upinzani lakini mjue kutaanza kuwa na vikundi vya ugaidi watu wakiikosa haki yao kwa amani wanaitafuta kwa mtutu wa bunduki.
 
I hope this is fake news.

Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?

He is a political refugee
 
Una uhakika gani wanajitisha wenyewe?

Lissu aliposema kuna watu wanamfuata fuata baadhi yetu tulisema hivyo hivyo.

Leo natamani niyameze maneno yangu!

Nyani Ngabu, better for you now because you see things in the bright light..!
 
Mbowe nae katorokea wapi?

Bora wangeajiri strategist atengeneze movie toka wakati wa kampeni. Sasa sahizi wauawe kwa tishio gani walilonalo kwa watawala?
 
Jamaa muungwana sana wewe, ujasiri wako wa kukiri makosa ni wa kipekee. Kila siku najifunza Jambo jipya kutika kwako
Hahaa dah! Shukran jazilan Bw. BJ.

Walau wewe una akili ya kuona na kutambua kuwa huwa ninakiri ninapokosea, nakosoa ninapoona si sawa, napongeza kama naona ni sawa, na kadhalika.

Ila kuna watu sijui ni akili finyu au sijui ni nini tu. Jitu lipo miaka yote humu halafu linaibuka tu na kudai mimi kila siku, kila mara, huwa ni kumpongeza Magufuli tu.

Kuna mdada mmoja jana kaibuka naye out of nowhere, anadai eti mimi huwa nawashambulia wote wanaomkosoa Trump.

Nilipoangalia mabandiko yangu kadhaa ya miezi michache ilopita, nikakutana na mada zangu kadhaa zinazomkosoa huyo huyo Trump ambaye nimeambiwa huwa ninawashambulia wote wanaomkosoa.

Sasa, kwa kutumia mantiki yake, ina maana hata mimi mwenyewe huwa najishambulia, siyo?

Hahahahaaa nachoka kabisa.

Watu wengine hawa sijui huko shuleni walikuwa wanapata maksi gani tu!!!
 
Ujinga mtupu mkuu, huyu Lema si ndio yule aliye ota Kisha akaita waandishi wa habari kuwa ameota Rais atakufa kabla ya 2020.
Kama hakufuatwa kuuawa kipindi kile ndo aje awindwe kuuawa leo?
Huwa Mr anapenda sana kutumia neno karma. Sasa pengine ile karma ya kufurahia mabaya kwa JPM inamsakama yeye sasa. Ila pole sana. Aachane na siasa, maana siyo saizi yake. Hii ngoma ya wakubwa. Toka lini ngoma ya wapinzani nayo ikakesha. ~ by Hamza Kaamka.
 
Back
Top Bottom