Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.

Weka ahadi inayovutia zaidi watu wabet, ukihama nchi ni kitu kidogo mno, sie tunaweka jiwe basi
 
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Mimi nafikiri ungeanza kuhama tu hata sasa hivi, kwa sababu sioni unachosubiri
 
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Chezeeni tu maboya wa mikoa mingine kama shinyanga dodma na singida, Arusha msiende mtatolewa bandama, watu wa kule sio wa kuchezea kiboya
 
Huuuu mwakaaaa TUNAANZIAA ARUSHAA MTAONAA KAZI YAKEE UJINGA ATUTAKI TUNAENDA KIGOMA KWINGINE SIRI AKOO
 
Ila nadhani Lema hata kama angewekwa kugombea na kamati yote ya siasa ya ccm, augombee ubunge wa kijiji cha ccm, yeye awe ndio mpinzani pekee. Kama mambo mengine yoote yatakuwa sawa na haki, hao hao wanaccm wenyewe wangemchagua Lema awe mbunge wa kijiji chao cha ccm.
Watu wamechoka na kuchoshwa hadi wamekinai. Pamoja na pambio zote, wanangojea barabarani siku babalao akipita awatupie senti kidogo za kununulia madawati?? This is shame man. Sipingi mema kafanya ila hii ya kugawa ruzuku barabarani mmekosea sana
 
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Hakikisha una passport
 
Uhame nchi uhamie nchi gani?
Umeshapata mume huko nchi unayoenda?
Mm ni mpiga kura wa kituo cha Chemchem B Sakina,kura yangu ni kwa Lema.
Relax don't panic TUKUTANE KWENYE uchaguzii
 
Ujinga wa ovyo kabisa, usiseme atashindwa sema ataporwa ushindi wake, ccm haijawai kushinda uchaguzi bali inapora ushindi, afu aya maupuuzi yako kawadanganye kijijini kwenu
 
Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema

Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha

Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.

Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.

Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.

Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Kama kungekuwepo na uchaguzi hoja yako isingekuwa na mashiko. Lakini kwa kuwa zama hizi ni zama za uchafuzi badala ya uchaguzi, unayo yatabiri ndio yatakayo tokea.
 
Na wewe umepata faida gani toka Lema kawa mbunge huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Lema tu, uwepo wa mawazo mbadala bungeni ni chachu ya maendeleo, kwa miaka mingi nchi hii ilikuwa ya chama kimoja, wenye hekima na busara waliona umuhimu wa uwepo wa wapinzani, mabadiliko ya kweli hayataletwa na CHADEMA, CUF wala ACT bali na Watanzania siku wakiamua hakutakuwa na wakuzuia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema mwenyewe ameshajua kwamba Arusha amepoteza ufuasi
Yupo bize kupima upepo HAI
 
Ivi weeee mbangaaa unajua ss machali wa chuga kweli tukipenda lema ni iyo lema hadi heaven
 
Kuna hatari wabunge wengi sana wa upinzani hawatorudi kwakuwa
1.) Wamebanwa sana kufanya siasa
2.) Waliposhinda Marc waliopelekwa no korofi (pengine watadhulum ushindi)
3.) Wameshindwa kupigania tume huru ya uchaguzi/katiba.
4.) Hawakufanya mambo makubwa Yalu way of autism's na wachama twawala.
5.) Wamenyimwa ushirikiano na kuteswa na makesi,vitisho no.
6.) Ccm wamejipanga vema kipesa,kimikakati,kisafu ya ushambuliaji nk.
7.) Mikakati ya upinzani imevujishwa na walohama vyama.
8.) Serikali imejitahidi kutekeleza mengi na kuipigia ccm kampeni.
9.) Vitisho vya viongozi ccm kwa RAIA waoga kubwa watatengwa iwapo watachagua "vibaya".
10.) Wapinzani wengi hawahamasiki kwenda kupiga kura na kuzisimamia tokana na usaliti was baadhi ya wapinzani na kutokuumini upinzani kuwa unanguvu kuvimbiana na chama twawala.
 
tuanzie hapa kwanza una passport?

kuna mchungaji mmoja marekani alisema trump akishinda uchaguzi atachana green card yake, na kweli wiki chache baada ya uchaguzi akachana green card yake... Sasa bro usikute unaleta story kama unawasimulia wadogo zako hadithi maana wanajua broo wao saundi meka
 
Back
Top Bottom