Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dingi nilikuwa nakuheshimu sana lkn kwa hili hapanaKama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema
Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha
Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.
Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.
Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.
Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Unabet mpk utawala wa majimboKama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema
Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha
Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.
Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.
Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.
Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Mleta mada hapa hata sielewi andiko lako. Nilitegemea kupata hoja za msingi kutokana na utendaji wa mh. Lema ili zitumike kama kipimo cha kutochaguliwa tena na wananchi wa jimbo lake. Tuletee hoja siyo porojo.Kama kuna wapinzani wanasogeza muda wao wa lala salama ni Mhe. Godbless Lema
Namshauri Mhe. Lema yale maneno ya Mhe. Spika kama kweli kakopa hajalipa ajiandae kulipa mapema 2020 asahau ubunge wala udiwani hapo Arusha
Vyema nikatoa tahadhari kuliko Kuja kusubiri mpaka Benki Zinaanza kuuza vitu vyake na ubunge ashakosa.
Halafu atangaze kutaka kuhamia CCM, hilo alitawezekana.
Wanachama wa CHADEMA amtapenda kuona Mali xa kaka yetu mpendawa zikiuzwa sababu ya madeni.
Namshauri mapema hili asije akahisi kumalizia madeni yaliyopo kusubiri posho za bunge la 2021 ataaibika kakangu.
Porojoo subiriii UCHAGUZIMleta mada hapa hata sielewi andiko lako. Nilitegemea kupata hoja za msingi kutokana na utendaji wa mh. Lema ili zitumike kama kipimo cha kutochaguliwa tena na wananchi wa jimbo lake. Tuletee hoja siyo porojo.