Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Inaonekana katao mahubiri makali sana kiasi kwamba kuna madai clip yake imeondolewa mtandaoni.Kwani Mtumishi Josephat Mwingira amesemaje jamani?
Lakini viongozi wa dini si kuamini huwa wabakuwa na ndimi nyingi sana, leo wafuasi wa chadema wote wanaona kauli ya Mwingira kama kauli ya kishujaa lakini kesho akigeuka musilaumu binafsi nafikiri mngemupa kutafakari kauli yake halafu muichuje then ndo wote muhamie huko.Ni kupitia mtabdao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni.
"Kabla ujamjibu Prophet Mwingira , nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya,wanajua baadhi ya mambo.Usijibu bila uelewa.Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua,Tanzania inaweza kuomba kuamia Urusi.Serikali ya ccm ina watu wakatili sana. "
Hebu tusaidie wengi hatuelewi
Tanzania hakuna wabunge kwa sasa tuna wana CCM wanaotumia ukumbi wa bunge.Basi ni wazi kuna ukweli katika madai ya Prophet Mwingira na uzuri hao ni wabunge wa CCM ingawa kwangu si wabunge kwani naamini hatukuwa na uchaguzi mwaka 2020
Yako mengi hayakusababishwa na JPM -Huyo Ni nabii ndiyo kwake ndiyo siyo kwake siyo, nchi ya kishenzi Ni ya kishenzi hata asiposema itabaki kuwa ya kishenzi.
Haya yote yalisababishwa na jiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn hata akina Bulaya wamo? Nao ni CCM?Tanzania hakuna wabunge kwa sasa tuna wana CCM wanaotumia ukumbi wa bunge.
Wanaoninajisi nchi kwa matendo na si maneno huwaoni?Nchi ya kishenzi sio? Huyu ni WA ku minywa Ili akaishi kwenye Nchi ya asali na Neema .
Mpumbavu mkubwa huyo,anawezaje kuinajisi Nchi alimo?
Jibu la hili swali analo Ndungai na Tume ya uchaguzi.Mbn hata akina Bulaya wamo? Nao ni CCM?
Kwani waliingiaje humo mjengoni?Mbn hata akina Bulaya wamo? Nao ni CCM?
Kutomwamini ndo uendawazimu zaidi-unashindwaje kumwamini mtu aliyetabiri mambo mazito yakatokea kama alivyotabiri? 1. Alitabiri kuhusu Mwendazake na ikawa 2. Alitabiri kuhusu kufungwa Sabaya na ikawa....Utakuwa mwendawazimu kama utamuamini Lema