Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni.

"Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba kuamia Urusi. Serikali ya CCM ina watu wakatili sana. "
 
Kwani Mtumishi Josephat Mwingira amesemaje jamani?
Inaonekana katao mahubiri makali sana kiasi kwamba kuna madai clip yake imeondolewa mtandaoni.

Kuna tweet moja Godbless Lema amei-retweet ambapo Prophet Mwingira anasema anashangaa kuishi kwenye nchi ya kish...nzi namna hii.

Nimeshindwa kuamini maneno hayo ila ndio hivyo yanavyosomeka.
 
Ni kupitia mtabdao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni.

"Kabla ujamjibu Prophet Mwingira , nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya,wanajua baadhi ya mambo.Usijibu bila uelewa.Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua,Tanzania inaweza kuomba kuamia Urusi.Serikali ya ccm ina watu wakatili sana. "
Lakini viongozi wa dini si kuamini huwa wabakuwa na ndimi nyingi sana, leo wafuasi wa chadema wote wanaona kauli ya Mwingira kama kauli ya kishujaa lakini kesho akigeuka musilaumu binafsi nafikiri mngemupa kutafakari kauli yake halafu muichuje then ndo wote muhamie huko.
 
Hebu tusaidie wengi hatuelewi

Lema anajua kina Manyanya wana details zote Za vitu Mwingira kafanyiwa; sasa anamshauri waziri apate hizo details ili akimjibu Mwingira awe Na details'

Akimjibu KWa kukurupuka, Mwingira anaweza kuja Na facts ambazo sio nzuri Sana zitakazoshangaza kuhusu ukatili ambao Mwingira kadai kafanyiwa!
 
Kwa mfano tu lole sakata la bwana yule kuchomewa mashamba na matrector kule sumbawanga kwenye jimbo la mbunge huyu naamini kwa asilimia zote lema yuko sahihi maana kuna watu walipewa kazi ile wakidai warudishiwe mashamba. Tena huenda hata hao wakakutwa na hatia.
 
Utakuwa mwendawazimu kama utamuamini Lema
Kutomwamini ndo uendawazimu zaidi-unashindwaje kumwamini mtu aliyetabiri mambo mazito yakatokea kama alivyotabiri? 1. Alitabiri kuhusu Mwendazake na ikawa 2. Alitabiri kuhusu kufungwa Sabaya na ikawa....
 
Back
Top Bottom