Jamani siasa ni mbaya. Unaweza kuta huyo Dada aliyeuawa ni kazi ya Nabii sasa faili linatarajiwa kupelekwa mahakamani basi kalisanua ili kukwepa kama alivyotaka kufanya MboweInaonekana katao mahubiri makali sana kiasi kwamba kuna madai clip yake imeondolewa mtandaoni.
Kuna tweet moja Godbless Lema amei-retweet ambapo Prophet Mwingira anasema anashangaa kuishi kwenye nchi ya kish...nzi namna hii.
Nimeshindwa kuamini maneno hayo ila ndio hivyo yanavyosomeka.
Daah! Waafrika bhana! Kwahiyo ukiwajua akina manyanya unakuwa genius?Kama huajelewa uwezo wako Ni Mdogo
Miafrika ndivyo tulivyo! Mchawi wa Mwafrika ni Mwafrika mwenzie!Utakuwa mwendawazimu kama utamuamini Lema
Anaelewaje sasa wakati hakuna ufafanuzi ya kile alichosema Mwingira? Wewe ni Uttoh gani? Utopolo?Kama huajelewa uwezo wako Ni Mdogo
ata ngwajima alianza huku!!
Mashamba yaliyochomwa moto ya mwingira yapo jimboni kwa Aeshi kule swanga, manyanya ndio alikua mkuu wa mkoa kipindi yanachomwa moto na wanakijiji. Nadhani ni ushauri wa kawaida tu Lema kautoa msijedhani ni utabiriWabunge Aeshy na Manyanya wanaingiaje ktk hili suala la askofu Mwingira? Naomba nieleweshwe mm wa huku Nakapanya
Kama ambavyo hatuna bunge pia ila tuna kikundi cha wanaccm wanaotumia ukumbi wa bunge kwa ajili ya kupiga porojo na kusaini posho.Tanzania hakuna wabunge kwa sasa tuna wana CCM wanaotumia ukumbi wa bunge.
Labda nabii wa papuchi na kutapeli wajinga kama weweHuyo Ni nabii ndiyo kwake ndiyo siyo kwake siyo, nchi ya kishenzi Ni ya kishenzi hata asiposema itabaki kuwa ya kishenzi.
Haya yote yalisababishwa na jiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya maana huioni mbona umekalisha makalio yako hapaNchi ya hovyo kabisa
Sihusiki na mataga wala machadema ,am innocent citizenLazima povu liwatoke MATAGA
“Mshindi ni Mshindi tu, Mungu yupo ndani yake, kati ya aliyepigwa risasi na aliyeiba kura nani yupo hai?” - Askofu Josephat MwingiraLakini viongozi wa dini si kuamini huwa wabakuwa na ndimi nyingi sana, leo wafuasi wa chadema wote wanaona kauli ya Mwingira kama kauli ya kishujaa lakini kesho akigeuka musilaumu binafsi nafikiri mngemupa kutafakari kauli yake halafu muichuje then ndo wote muhamie huko.
Asante mkuu kwa ufafanuziMashamba yaliyochomwa moto ya mwingira yapo jimboni kwa Aeshi kule swanga, manyanya ndio alikua mkuu wa mkoa kipindi yanachomwa moto na wanakijiji. Nadhani ni ushauri wa kawaida tu Lema kautoa msijedhani ni utabiri
Mnafiki!Sihusiki na mataga wala machadema ,am innocent citizen
Unajua maana ya kuinajisi nchi? Mbona nakuona wewe ni shenzi kulilko hata wale wanaosemwa. Kuna ushenzi zaidi ya hicho unachokisema wewe, kwamba watu wakikosoa taifa, wa minywe au wafukuzwe?Nchi ya kishenzi sio? Huyu ni WA ku minywa Ili akaishi kwenye Nchi ya asali na Neema .
Mpumbavu mkubwa huyo,anawezaje kuinajisi Nchi alimo?
Bora niwe mnafiki kuliko kutumikishwa na wapuuzi mkiwemo nyie chadema mliolewa na wazungu.Mnafiki!
Lema aliwahi tabiri tusiyoyaona yakatimia, kwanini asiaminiwe?Utakuwa mwendawazimu kama utamuamini Lema