Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

Inaonekana katao mahubiri makali sana kiasi kwamba kuna madai clip yake imeondolewa mtandaoni.

Kuna tweet moja Godbless Lema amei-retweet ambapo Prophet Mwingira anasema anashangaa kuishi kwenye nchi ya kish...nzi namna hii.

Nimeshindwa kuamini maneno hayo ila ndio hivyo yanavyosomeka.
Jamani siasa ni mbaya. Unaweza kuta huyo Dada aliyeuawa ni kazi ya Nabii sasa faili linatarajiwa kupelekwa mahakamani basi kalisanua ili kukwepa kama alivyotaka kufanya Mbowe
 
Yeye Lema kama ana details azimwage, zaidi ya hapo itakuwa Umbeya...Sasa Jeshi la polisi liache kumhoji mhusika mwenyewe Mwingira liende likahangaike na watu wengine?... Yeye Mwingira anasema alifanyiwa unyama aende akatoe taarifa kwa jeshi la polisi na lenyewe lifanye uchunguzi..

Kama ameamua kumuachia Mungu, akae kimya na Mungu mwenyewe atapima haki iko wapi...kupayukapayuka ni dalili za uhuni na kutaka huruma au favor kutoka kwa mamlaka mpya...
 
HEKIMA KWA MPWA WANGU #SIMBACHAWENE HAKUNA CHA KUMJIBU MWINGIRA. UTAKUWA NI KAMA UTOTO.
Chadomo hujaribu kutengeneza mabishano ya kipuuzi.
 
Wabunge Aeshy na Manyanya wanaingiaje ktk hili suala la askofu Mwingira? Naomba nieleweshwe mm wa huku Nakapanya
Mashamba yaliyochomwa moto ya mwingira yapo jimboni kwa Aeshi kule swanga, manyanya ndio alikua mkuu wa mkoa kipindi yanachomwa moto na wanakijiji. Nadhani ni ushauri wa kawaida tu Lema kautoa msijedhani ni utabiri
 
Lakini viongozi wa dini si kuamini huwa wabakuwa na ndimi nyingi sana, leo wafuasi wa chadema wote wanaona kauli ya Mwingira kama kauli ya kishujaa lakini kesho akigeuka musilaumu binafsi nafikiri mngemupa kutafakari kauli yake halafu muichuje then ndo wote muhamie huko.
“Mshindi ni Mshindi tu, Mungu yupo ndani yake, kati ya aliyepigwa risasi na aliyeiba kura nani yupo hai?” - Askofu Josephat Mwingira
 
Mashamba yaliyochomwa moto ya mwingira yapo jimboni kwa Aeshi kule swanga, manyanya ndio alikua mkuu wa mkoa kipindi yanachomwa moto na wanakijiji. Nadhani ni ushauri wa kawaida tu Lema kautoa msijedhani ni utabiri
Asante mkuu kwa ufafanuzi
 
Nchi ya kishenzi sio? Huyu ni WA ku minywa Ili akaishi kwenye Nchi ya asali na Neema .

Mpumbavu mkubwa huyo,anawezaje kuinajisi Nchi alimo?
Unajua maana ya kuinajisi nchi? Mbona nakuona wewe ni shenzi kulilko hata wale wanaosemwa. Kuna ushenzi zaidi ya hicho unachokisema wewe, kwamba watu wakikosoa taifa, wa minywe au wafukuzwe?

Who are you demon? How many are you? Where are you from? What do you want from the land of Tanzania? What is your mission in Tanzania? Speak before I cast you out!.
 
Back
Top Bottom