Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Uongo uko wapi hapo? Sikufuatilia tu kama alikatwa jina kwa sababu hakukuwa na uchaguzi 2020 basi aliyeshinda kura za maoni alikuwa tayari ni mbunge.

Ila ukweli unasimama pale pale hawana haya.
 
Wewe mpumbavu unaunafiki mwingi sana! Hao mnaowasema akina Zungu si wanaasili ya kiarabu na Bashe anaasili ya Kisomali hii nchi sio henu niyawote! Huo wizi wa Tanzanite ni uzembe uliosababishwa na utawala wa huyu mamayenu...
Kwanza mpumbavu Baba yako mzazi kenge wewe, mimi huwa silali na deni.

Halafu nioneshe ni wapi nimemtaja Zungu au huyo Bashe.

Siyo unatoka kuvuta bangi unaparamia watu tu. Fanculo.
 
Biteko na Mnyeti walikuwa wana miliki njia za chini kwa chini za kuvusha madini kule Mererani ili kukwepa surveillance ya ukuta...
Biteko ataendela kuwepo sana tu! Yaani Huyu mama kama atakurupuka tena kama alivokurupuka kumtoa Kalemani nishati shauri yake! Watu wanachuki na Magufuli na watu wake! Inamaan waziri haruhusiwi kufanya biashara ya madini!

Ndo maana mnaambulia kutoa mawaziri kwa mihemuko ma chuki mnaweka mazuzu! Hivi suala hata la umeme nchi nzima athari yake ni kubwa sana!
 
Ninachojua Kulwa yupo Uhamiaji Zimbabwe zamani alikuwa Kurasini.

Hii ya kuwa Mjengoni ikanishtua kidogo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo uko wapi hapo? Sikufuatilia tu kama alikatwa jina kwa sababu hakukuwa na uchaguzi 2020 basi aliyeshinda kura za maoni alikuwa tayari ni mbunge.

Ila ukweli unasimama pale pale hawana haya.
Uongo bado huuoni? Umesema kulwa yupo bungeni ukaanza kutema povu, nikakuambia hayupo with evidence.
Bado huoni Kama ulisema uongo?
Una tatizo la akili?
 
Mtutsi alikavidhiwa Wizara nyeti kama hiyo, ndo maana kawa mwizi tu na kupora maeneo ya madini na kuwakabidhi ndugu zake
 
Ninachojua Kulwa yupo Uhamiaji Zimbabwe zamani alikuwa Kurasini.

Hii ya kuwa Mjengoni ikanishtua kidogo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Aligombea ubunge Jimbo la busanda, akashinda. Jiwe akamkata kwa kusema haiwezekani kulwa na Dotto wawe wabunge tena kwa majimbo mawili ya karibu.
Huyo jamaa akatoka huko akakurupuka bila kushirikisha medula kuwa kulwa yupo bungeni
 
Yote haya nayakumbuka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,

Samahani naomba nikupe complimentary

Una busara sana! familia yako pamoja na marafiki

zako hawana budi kushukru kuwa na mtu kama

wewe katika maisha yao ya kila siku.

Asante!
 
Uongo bado huuoni? Umesema kulwa yupo bungeni ukaanza kutema povu, nikakuambia hayupo with evidence.
Bado huoni Kama ulisema uongo?
Una tatizo la akili?
Huyo Matola nakwambia ni mpumnavu na hana akili Kulwa Biteko alikatwa na hakugombea ubunge! Anapozungumzia Kulwa Biteko na mambo ya bungeni ndo anaonekana kwanza ni mtu asiye na taarifa sahihi!,sio mfatiriaji wa mambo!,anaendeshwa na mihemko na ni mpumbavu sana.
 
Kijiwe cha kahawa
 
Kagame anaulindaje urais wa samia hivi unajielewa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…