Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nimeshakwambia mpumbavu ni Baba yako mzazi.Huyo Matola nakwambia ni mpumnavu na hana akili Kulwa Biteko alikatwa na hakugombea ubunge! Anapozungumzia Kulwa Biteko na mambo ya bungeni ndo anaonekana kwanza ni mtu asiye na taarifa sahihi!,sio mfatiriaji wa mambo!,anaendeshwa na mihemko na ni mpumbavu sana.
Nafasi ya kufanya editing kwenye post yako bado unayoKama kusoma hamjui mimi niwasaidiaje?
Au hamfuatilii flow ya comments mnadandia gari kwa mbele tu?
Hawa ni jamaa zake na marehemu kichaaSijui walimpate wizara vyeti mtusi kabisa huyu yaan nchi hii walipewa wageni ilaaniwe awamu ya tano
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.
Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.
Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyoo.
Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.
Pole Biteko, Ila kwa heri
View attachment 2017279
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kama kusoma hamjui mimi niwasaidiaje?
Au hamfuatilii flow ya comments mnadandia gari kwa mbele tu?
None sense.Biteko na Mnyeti walikuwa wana miliki njia za chini kwa chini za kuvusha madini kule Mererani ili kukwepa surveillance ya ukuta.
Hata kipindi Magufuli amekufa lakini hajatangazwa wao ndiyo walikuwa wanataka kujimilikisha kitalu C pale Mererani.
Wamechelewa sana kumtoa UWAZIRI
Uhamiaji zimbambwe ni mwajiriwa huko? Au iko vp mkuuNinachojua Kulwa yupo Uhamiaji Zimbabwe zamani alikuwa Kurasini.
Hii ya kuwa Mjengoni ikanishtua kidogo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaonekana sio mtanzania kabisa sio kwa hasira hiziWewe mpumbavu unaunafiki mwingi sana! Hao mnaowasema akina Zungu si wanaasili ya kiarabu na Bashe anaasili ya Kisomali hii nchi sio henu niyawote! Huo wizi wa Tanzanite ni uzembe uliosababishwa na utawala wa huyu mamayenu! Unafikiri waziri awe anakaa getini analinda watu wasiibe! Tena nyinyi watu wa kaskazini ni majambazi sana mmeona utawala wa mama mnaiba Tanzanite halafu mnapeleka lawama kwa waziri! Tunajua mnachuki sana na watu wa kanda ya ziwa!
Umebanwa sawa sawa!Kama kusoma hamjui mimi niwasaidiaje?
Au hamfuatilii flow ya comments mnadandia gari kwa mbele tu?
Akikujibu unistuwe, nilikuwa sijui kama Uhamiaji wetu wanafanyakazi mpaka nje ya Tanzania.Uhamiaji zimbambwe ni mwajiriwa huko? Au iko vp mkuu
Huyo mzee hafai wale wakwepa kodi waliokua wanaendesha mgodi wa tanzaniteone ndio watu wake,yani akirudi wanarudishiwa mgodiTale tale ndiye mrithi wa Biteko.
Japo wengine wanasema ni Zungu!
Lema asiipangie mamlaka ya uteuzi.Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.
Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.
Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.
Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyoo.
Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.
Pole Biteko, Ila kwa heri
View attachment 2017279
Huu ubaguzi wenu acheni. Sumu mnayoisambaza mkidhani inafaida it will hit you back. Nachukizwa mno na watu wanaoeneza ubaguzi nchini.Huyu jamaa ni Bahima kabisa
Pacha hakupata ubunge walimla kichwa,alikua anagombea jimbo la busandaWalinogewa wakaona nchi ni mali yao, imagine mpaka pacha wake Kulwa Biteko naye yupo mjengoni.
Magufuli alaaniwe shetani kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikujibu unistuwe, nilikuwa sijui kama Uhamiaji wetu wanafanyakazi mpaka nje ya Tanzania.
Ninachojua Kulwa yupo Uhamiaji Zimbabwe zamani alikuwa Kurasini.
Hii ya kuwa Mjengoni ikanishtua kidogo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo wa kunibana mimi ndio kwamba siku hizi Uhamiaji wa kwetu wanafanyakazi Zimbabwe?😄😄Umebanwa sawa sawa!
Ni Afisa Uhamiaji kutoka Tanzania anayefanya kazi huko...Uhamiaji zimbambwe ni mwajiriwa huko? Au iko vp mkuu
Sijui walimpate wizara vyeti mtusi kabisa huyu yaan nchi hii walipewa wageni ilaaniwe awamu ya tano
huyo mtu ana asili ya watusi lakini kazaliwa Tanzania na kusomea hapa hapa,kama tatizo ni asili yake sawa ila mbona hata wale wamakonde wa Mtwara nao ni wa Msumbiji? au wale ndugu zetu wa Mara wale Wajaruo nao ni wa-Kenya?
tusibaguane kwa asili zetu,tutakua tunapanda mbegu ya ubaguzi na matunda yake tutayala wote