Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Lema asiipangie mamlaka ya uteuzi.
Huu ubaguzi wenu acheni. Sumu mnayoisambaza mkidhani inafaida it will hit you back. Nachukizwa mno na watu wanaoeneza ubaguzi nchini.
Muhasisi wa ubaguzi ni yule shetani wa chato, sisi tunachofanya ni kumuenzi tu, ubaya wetu ni nini?
 
Kuropoka JF rahisi sana, hivi wewe ukidakwa uambiwe udhibitishe hayo uliyoongea utaweza kudhibitisha? Kuna Shida mnamtafutia Melo ambazo ni unnecessary
 
Kuropoka JF rahisi sana, hivi wewe ukidakwa uambiwe udhibitishe hayo uliyoongea utaweza kudhibitisha? Kuna Shida mnamtafutia Melo ambazo ni unnecessary
Acha kutisha watu mjinga wewe, wengine wanaandika hizi post wakiwa ikulu, wengine North Korea, wengine Marekani.

Mbona hamkumdaka kigogo na sasa ndio vuvuzela la chama chetu na serikali yetu sikivu?
 
Hahaha kwa Biteko waziri hakai magetini!!!!! Kwa January mnataka aende mawinguni akashushe mvua!!! Hakuna watu wanafiki kama wafuasi wa Marehemu
 
Acha kutisha watu mjinga wewe, wengine wanaandika hizi post wakiwa ikulu, wengine North Korea, wengine Marekani.

Mbona hamkumdaka kigogo na sasa ndio vuvuzela la chama chetu na serikali yetu sikivu?
Mtu wa ikulu hawezi andika upuuzi kama huo
 
Sasa huyo wa kunibana mimi ndio kwamba siku hizi Uhamiaji wa kwetu wanafanyakazi Zimbabwe?[emoji1][emoji1]
Mimi niliyesema anafanya Uhamiaji Zimbabwe na Wewe uliyesema yupo Mjengoni wote ni wale wale... tena afadhali aliyesema anafanya Uhamiaji Zambabwe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayesa Doto na Kulwa ni BAHIMA,akawaulize watu wa kijiji cha Nyaruyeye kama ni kweli au hakuwahi kumsikia mbuge wa zamani wa Busanda aliyeitwa Kabuzi
 
Hilo mjiulize ninyi msiolewa, Boss wa Samia ni Paul Kagame na Uhuru Kenyata na wamemuhakikishia ulinzi, …
Wanamlindaje mkuu?mbona hujielewi?kwa hiyo na urais huu wamempa wao?basi nchi yetu haina vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Sukuma Kingdom is going down slowly and nicely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…