Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Wanamlindaje mkuu?mbona hujielewi?kwa hiyo na urais huu wamempa wao?basi nchi yetu haina vyombo vya ulinzi na usalama.
Porojo huwa hazikosekani, hata hao Kenya usemaga Mlima Kilimanjaro upo kwao, na Olduvai gorge ipo kwao pia.

Hizi zote ni porojo tu sawa na hiyo porojo.

Majeshi ya Tanzania yakiamuwa kuifuta Rwanda kwenye ramani ya dunia ni wiko moja tu inatosha.

Ujuwe humu JF hatuko Watanzania tupu na watu wa nchi za jirani tuko nao, kwahiyo propaganda uchwara kama hizo usizishangae.
 
MWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII TU HUYU!
 
Nimemshangaa sana huyu jamaa amekomaa balaa hana akili kabisa
 
Biteko alikuwa anaongeaga Kisukuma tu kwenye mikutano yake kule Bukombe. Kwa mlioko huko vipi bado anaendelea na lugha pendwa?
 
Kama kijana huyu ataondolewa dhahiri yatakua Ni majungu

Tumeshuhudia mikataba muhimu ya madini ikirekebishwa ndani ya uongozi wa kijana huyu

Ila kwa kua asilimia kubwa ya watu wanawaza kwa kutumia WOWOWO!, watalishabikia hili

Mkae mkijua Simba wakimaliza kula swala porini wataingia kijijini na kuanza kula watu

Dozee Dozee.... Time will tell
 
Mlaumu Mwendazake. Ndiye alianzisha ubaguzi wa kikabila, kikanda na kichama
Dotto Biteko ni Waziri
Muhasisi wa ubaguzi ni yule shetani wa chato, sisi tunachofanya ni kumuenzi tu, ubaya wetu ni nini?
Mwacheni Waziri Biteko afanye kazi. Rekodi zinambeba...watoroshaji madini waache tu. Hizo Habari nyepesi nyepesi hazina nafasi ktk Serikali ya sasa.
 
Mtusi alipewa wizara nyeti. Jpm bwana full ukabila
 
Nadhani dotto ni mtu pekee ambae anaiweza wizara hii.hakuna wizara isiyo na mapungufu .na ukiwa waziri sio kila kitu unafanya mwenyewe kuna vitu unakuwa upo na figure ya uwaziri husika ila mtu wa chini akiharibu anaeonekana m,baya ni kiongozi wa ngazi ya juu.Tanzania bila fitina haiwezekani.fitna ni kazi za watu zinazo wapa watu mtaji.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…