Godbless Lema amuandikia Jakaya Kikwete Waraka Mzito

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
3,014
Reaction score
7,343
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali, sasa amefungwa kwa tuhuma za kisiasa.

Vyama vya upinzani vinazuiwa, chaguzi zinaibwa mchana kweupe, na watu wanaishi kwa hofu ya kutekwa au kufungwa kwa kusema tu kile wanachoamini. Na wewe Mheshimiwa, unanyamaza. Unanyamaza kana kwamba haya hayakuhusu.

Kama kwamba haki ni jambo la watu wengine si la wale waliowahi kuongoza. Tunajua kuwa huna tena mamlaka ya kisiasa, lakini bado una mamlaka ya kimaadili. Sauti yako inaweza kuamsha dhamira zilizolala. Lakini unapokaa kimya, unaacha hisia kuwa pengine uko tayari kuona taifa likiteketea mradi familia yako ibaki salama pengine na ndoto zako binafsi kama mzazi zisivurugwe.

Hii si hekima. Hii si busara. Hii ni hofu inayojificha ndani ya tabasamu la kisiasa. Na hofu ya mtu mkubwa huzaa mateso kwa watu wadogo.Historia itamkumbuka kila aliyesema hata kama sauti yake itanyamazishwa. Lakini itamhukumu kila aliyenyamaza hasa kama alikuwa na nafasi ya kusema.

Rizwan anaweza kuwa na ndoto ya kuwa Waziri Mkuu. Lakini ni bora awe Waziri Mkuu wa taifa la haki, si la watu walioumizwa kwa ukimya wa baba yake. Uongozi hauwezi kurithiwa kama mali, bali huhesabiwa kwa misingi ya utu na historia ya ujasiri wa familia.

Mh Rais Mstaafu , bado una nafasi ya kuchagua upande wa historia utakaoandika jina lako. Sema. Kemea. Simama upande wa haki. Si kwa ajili ya siasa, bali kwa ajili ya nafsi yako na heshima ya watoto wako mbele ya taifa linaloteseka.Kwa sababu ukimya mwingine ni kosa la maadili ambalo halionekani mara moja lakini halisahauliki.
20250721_125833.jpg
 
Serikali na wahusika wa haki wamesimamia haki.

Ndo maana tundu lisu amehifadhiwa sehemu salama ili kulinda haki ya kuishi kwa ambao wangeumia kipndi cha uasi na kukinukisha.

Serikali inasimamia haki ili watu wake wapige kura kwa haki na uhuru bila uasi.

Serikali inasimamia haki ili kudhibiti matapeli na vibaka wa kisiasa.

HAKI SIYO LAZIMA TUNDU ATOKE GEREZANI, LAKINI HATA KUWA GEREZANI NI HAKI YAKE YA MSINGI.

Lema alitakiwa alete familia yake huku, maudenda hivo hvo na wengneo ili tupganie haki ambayo imo vichwani mwenu.

ni upumbavu na ukuda kutumia tundu kama kipimo cha haki, tundu ni mhalifu kama wahalifu wengine, ni mtuhumiwa kama watuhumiwa wengne.
 
Serikali na wahusika wa haki wamesimamia haki,
Ndo maana tundu lisu amehifadhiwa sehemu salama ili kulinda haki ya kuishi kwa ambao wangeumia kipndi cha uasi na kukinukisha,
Serikali inasimamia haki ili watu wake wapige kura kwa haki na uhuru bila uasi..
Serikali inasimamia haki ili kudhibiti matapeli na vibaka wa kisiasa..
HAKI SIYO LAZIMA TUNDU ATOKE GEREZANI, LAKINI HATA KUWA GEREZANI NI HAKI YAKE YA MSINGI..

Lema alitakiwa alete familia yake huku, maudenda hivo hvo na wengneo ili tupganie haki ambayo imo vichwani mwenu..

ni upumbavu na ukuda kutumia tundu kama kipimo cha haki..tundu ni mhalifu kama wahalifu wengne, ni mtuhumiwa kama watuhumiwa wengne.
Huyu alitakiwa kuwa gerezani au uraiani?
 
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali, sasa amefungwa kwa tuhuma za kisiasa. Vyama vya upinzani vinazuiwa, chaguzi zinaibwa mchana kweupe, na watu wanaishi kwa hofu ya kutekwa au kufungwa kwa kusema tu kile wanachoamini. Na wewe Mheshimiwa, unanyamaza. Unanyamaza kana kwamba haya hayakuhusu. Kama kwamba haki ni jambo la watu wengine si la wale waliowahi kuongoza. Tunajua kuwa huna tena mamlaka ya kisiasa, lakini bado una mamlaka ya kimaadili. Sauti yako inaweza kuamsha dhamira zilizolala. Lakini unapokaa kimya, unaacha hisia kuwa pengine uko tayari kuona taifa likiteketea mradi familia yako ibaki salama pengine na ndoto zako binafsi kama mzazi zisivurugwe.

Hii si hekima. Hii si busara. Hii ni hofu inayojificha ndani ya tabasamu la kisiasa. Na hofu ya mtu mkubwa huzaa mateso kwa watu wadogo.Historia itamkumbuka kila aliyesema hata kama sauti yake itanyamazishwa. Lakini itamhukumu kila aliyenyamaza hasa kama alikuwa na nafasi ya kusema.

Rizwan anaweza kuwa na ndoto ya kuwa Waziri Mkuu. Lakini ni bora awe Waziri Mkuu wa taifa la haki, si la watu walioumizwa kwa ukimya wa baba yake. Uongozi hauwezi kurithiwa kama mali, bali huhesabiwa kwa misingi ya utu na historia ya ujasiri wa familia.

Mh Rais Mstaafu , bado una nafasi ya kuchagua upande wa historia utakaoandika jina lako. Sema. Kemea. Simama upande wa haki. Si kwa ajili ya siasa, bali kwa ajili ya nafsi yako na heshima ya watoto wako mbele ya taifa linaloteseka.Kwa sababu ukimya mwingine ni kosa la maadili ambalo halionekani mara moja lakini halisahauliki.View attachment 3413045
Km kwl ni yeye hiyo bangi haitamwacha salama, ht yy mwenyewe haelewi alichokiandika. Uwaziri mkuu wa Ridhiwani ameuota? Mbn hivyo? Mlitaka viongozi wasio na watoto? Hizo ni husda na huyo wizi wa magari ni hasidi mkubwa aache kuwaza familia za watu mbona familia yake ameiacha Canada na JK pamoja na kwamba amekuwa mtu mkubwa sana ikiwa ni pamoja na kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka 10 na hatimaye Rais kwa miaka 10 hana hata mtoto nje ya nchi? Hao ni vibaraka wanataka kuifanyia nchi yetu udalali na wameona Kikwete ni kikwazo. JK ni mzalendo wa kweli kwa nchi yake na lazima asimame kidete kumshauri Rais wetu. Hamtafanikiwa kenge nyie. Eti huyo mwizi naye ni kiongozi, alivyorudi tu kutoka Canada aliwatukana maafisa usafirishaji kuwa ni kazi ya laana, sasa huyo ni kiongozi? Just a stinking rubbish
 
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali, sasa amefungwa kwa tuhuma za kisiasa. Vyama vya upinzani vinazuiwa, chaguzi zinaibwa mchana kweupe, na watu wanaishi kwa hofu ya kutekwa au kufungwa kwa kusema tu kile wanachoamini. Na wewe Mheshimiwa, unanyamaza. Unanyamaza kana kwamba haya hayakuhusu. Kama kwamba haki ni jambo la watu wengine si la wale waliowahi kuongoza. Tunajua kuwa huna tena mamlaka ya kisiasa, lakini bado una mamlaka ya kimaadili. Sauti yako inaweza kuamsha dhamira zilizolala. Lakini unapokaa kimya, unaacha hisia kuwa pengine uko tayari kuona taifa likiteketea mradi familia yako ibaki salama pengine na ndoto zako binafsi kama mzazi zisivurugwe.

Hii si hekima. Hii si busara. Hii ni hofu inayojificha ndani ya tabasamu la kisiasa. Na hofu ya mtu mkubwa huzaa mateso kwa watu wadogo.Historia itamkumbuka kila aliyesema hata kama sauti yake itanyamazishwa. Lakini itamhukumu kila aliyenyamaza hasa kama alikuwa na nafasi ya kusema.

Rizwan anaweza kuwa na ndoto ya kuwa Waziri Mkuu. Lakini ni bora awe Waziri Mkuu wa taifa la haki, si la watu walioumizwa kwa ukimya wa baba yake. Uongozi hauwezi kurithiwa kama mali, bali huhesabiwa kwa misingi ya utu na historia ya ujasiri wa familia.

Mh Rais Mstaafu , bado una nafasi ya kuchagua upande wa historia utakaoandika jina lako. Sema. Kemea. Simama upande wa haki. Si kwa ajili ya siasa, bali kwa ajili ya nafsi yako na heshima ya watoto wako mbele ya taifa linaloteseka.Kwa sababu ukimya mwingine ni kosa la maadili ambalo halionekani mara moja lakini halisahauliki.View attachment 3413045
Kwamba kikwete akamsikilize kiazi lema

USSR
 
Kikwete yupi wa kusimamia haki wakati akimpigia kampeni mwanaye aweze kuurithi uzima wa milele siku za usoni?

Kikwete yule yule mtu wa kujirusha kwenye madansi maarufu enzi zile za Marijani Rajab, Msondo ngoma na Sikinde pale DDC Hall Magomeni Kondoa?

Sidhani hata kama atasoma na kuelewa Lema alichoandika!. Tanzania imepoteza mwelekeo, inakwenda halijojo.😎
 
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali, sasa amefungwa kwa tuhuma za kisiasa. Vyama vya upinzani vinazuiwa, chaguzi zinaibwa mchana kweupe, na watu wanaishi kwa hofu ya kutekwa au kufungwa kwa kusema tu kile wanachoamini. Na wewe Mheshimiwa, unanyamaza. Unanyamaza kana kwamba haya hayakuhusu. Kama kwamba haki ni jambo la watu wengine si la wale waliowahi kuongoza. Tunajua kuwa huna tena mamlaka ya kisiasa, lakini bado una mamlaka ya kimaadili. Sauti yako inaweza kuamsha dhamira zilizolala. Lakini unapokaa kimya, unaacha hisia kuwa pengine uko tayari kuona taifa likiteketea mradi familia yako ibaki salama pengine na ndoto zako binafsi kama mzazi zisivurugwe.

Hii si hekima. Hii si busara. Hii ni hofu inayojificha ndani ya tabasamu la kisiasa. Na hofu ya mtu mkubwa huzaa mateso kwa watu wadogo.Historia itamkumbuka kila aliyesema hata kama sauti yake itanyamazishwa. Lakini itamhukumu kila aliyenyamaza hasa kama alikuwa na nafasi ya kusema.

Rizwan anaweza kuwa na ndoto ya kuwa Waziri Mkuu. Lakini ni bora awe Waziri Mkuu wa taifa la haki, si la watu walioumizwa kwa ukimya wa baba yake. Uongozi hauwezi kurithiwa kama mali, bali huhesabiwa kwa misingi ya utu na historia ya ujasiri wa familia.

Mh Rais Mstaafu , bado una nafasi ya kuchagua upande wa historia utakaoandika jina lako. Sema. Kemea. Simama upande wa haki. Si kwa ajili ya siasa, bali kwa ajili ya nafsi yako na heshima ya watoto wako mbele ya taifa linaloteseka.Kwa sababu ukimya mwingine ni kosa la maadili ambalo halionekani mara moja lakini halisahauliki.View attachment 3413045
Hata Nyerere (mstaafu) alimsii Mwinyi na serikali yake wasimweke jela (wasimshike) Kambona, kwa kuwa alikua muaasi (muaasi wa kweli). Kwa nini huyu mstaafu hafuati mifano kama hiyo? Lazima ana maslahi
 
HUYU mzee upinzani ukishika nchini waende jaela wakaone kama ni pazuri na WAO kupelekwa TU wenzao WAO wakigusiwa familia zao hasira kifua kina banana kuhemea juujuu DAH SI VIZURI nawakumbusha. Wazazi wanajinyima kulisha watoto WAO wanasomesha kwa kujinyima MANA NYIE mmeshindwa kuwasomesha vyuo Bure . Mnawateka na kuwafunga hakika karma itongea SIKU moja UPANDE MmOJA kilio SI tutashangilia hakika kwa NIN tufike huko

Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali, sasa amefungwa kwa tuhuma za kisiasa.

Vyama vya upinzani vinazuiwa, chaguzi zinaibwa mchana kweupe, na watu wanaishi kwa hofu ya kutekwa au kufungwa kwa kusema tu kile wanachoamini. Na wewe Mheshimiwa, unanyamaza. Unanyamaza kana kwamba haya hayakuhusu.

Kama kwamba haki ni jambo la watu wengine si la wale waliowahi kuongoza. Tunajua kuwa huna tena mamlaka ya kisiasa, lakini bado una mamlaka ya kimaadili. Sauti yako inaweza kuamsha dhamira zilizolala. Lakini unapokaa kimya, unaacha hisia kuwa pengine uko tayari kuona taifa likiteketea mradi familia yako ibaki salama pengine na ndoto zako binafsi kama mzazi zisivurugwe.

Hii si hekima. Hii si busara. Hii ni hofu inayojificha ndani ya tabasamu la kisiasa. Na hofu ya mtu mkubwa huzaa mateso kwa watu wadogo.Historia itamkumbuka kila aliyesema hata kama sauti yake itanyamazishwa. Lakini itamhukumu kila aliyenyamaza hasa kama alikuwa na nafasi ya kusema.

Rizwan anaweza kuwa na ndoto ya kuwa Waziri Mkuu. Lakini ni bora awe Waziri Mkuu wa taifa la haki, si la watu walioumizwa kwa ukimya wa baba yake. Uongozi hauwezi kurithiwa kama mali, bali huhesabiwa kwa misingi ya utu na historia ya ujasiri wa familia.

Mh Rais Mstaafu , bado una nafasi ya kuchagua upande wa historia utakaoandika jina lako. Sema. Kemea. Simama upande wa haki. Si kwa ajili ya siasa, bali kwa ajili ya nafsi yako na heshima ya watoto wako mbele ya taifa linaloteseka.Kwa sababu ukimya mwingine ni kosa la maadili ambalo halionekani mara moja lakini halisahauliki.View attachment 3413045
ha huyu lema anasahaunalikuwa mwizi huku mwanza? na tuna ushahidi wake?
 
JK anatafuta fadhila kwa SSH kwa ajili ya maslahi binafsi, ya familia yake na washrika wake. Very irresponsible person.

Kwake fame ya kujiona "maestro" wa kisiasa inampa faraja zaidi kuliko taifa bora lenye haki zaidi na ustawi zaidi!
 
Serikali na wahusika wa haki wamesimamia haki,
Ndo maana tundu lisu amehifadhiwa sehemu salama ili kulinda haki ya kuishi kwa ambao wangeumia kipndi cha uasi na kukinukisha,
Serikali inasimamia haki ili watu wake wapige kura kwa haki na uhuru bila uasi..
Serikali inasimamia haki ili kudhibiti matapeli na vibaka wa kisiasa..
HAKI SIYO LAZIMA TUNDU ATOKE GEREZANI, LAKINI HATA KUWA GEREZANI NI HAKI YAKE YA MSINGI..

Lema alitakiwa alete familia yake huku, maudenda hivo hvo na wengneo ili tupganie haki ambayo imo vichwani mwenu..

ni upumbavu na ukuda kutumia tundu kama kipimo cha haki..tundu ni mhalifu kama wahalifu wengne, ni mtuhumiwa kama watuhumiwa wengne.

YAH RIGHT. WAHUNI WANASIMAKIA HAKI...!!
 
Back
Top Bottom