Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Kila nafsi itaonja mauti. Kama si leo, ni kesho! Hivyo kila mmoja ajiandae kusimama mbele ya Mungu mwenye haki leo, lakini pia afanye kazi zake kana kwamba anayo miaka 100 mbele!
Very SURE.
 
Duuuh, sisi sote ni binadamu pua zinaelekea ardhini, Ndugai anashida zake na mapungufu mengi ila mambo mengine yanavuka minyau (mipaka)....kila mtu atakwenda kwa muda wake tu....ila siyo kushangilia mambo kama haya
Alionywa mwendazake akapuuza , kilichotokea unakijua
 
Division ya lema imehusika vipi hapa
Inahusiana vipi na maelezo
 
Anachofanya Spika Ndugai ni KIBRI CHA UZIMA na JEURI YA PESA.
Kama Job Ndugai hajajifunza lolote kupitia tukio la Hayat JPM basi asbiri matokeo huko mbeleni! Mungu katika Biblia anasema TAKENI AMANI NA WATU WOTE. Hilo ni Neno la Mungu
Nikumbushe mkuu hilo neno TAKENI AMANI NA WATU WOTE,lipo kitabu gani vile.
 
MUNGU HADHIKAKIWI YUKPO WAPI MEKO... ACHENI KIBURI
 
Duh huyu huwa kama 'anaoteshwa' hivi, Spika usidharau hata kidogo

Season One tumeona sasa ngoja tuone Season two inakujaje kujaje? au watamkamata tena na kumpeleka mahabusu?
 
ndipo akili za chadema zilipofikia hapa.

tukisema hamna upinzani bali genge la wahuni nchini mnang'aka.

anajivika jukumu la kuwa mshitaki mbele za Mungu ili!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…