Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P anatuambia je kwani?Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nosrodam wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Lema huzungumza fact za maisha na wala sio utabiri. Tatizo wengi wetu tunapuuza sana fact za maisha.Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nosrodam wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Haya mwambie akutabirie kifo chako!Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nosrodam wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Mbona Ndugai yupo anadunda na alisema hawezi ishi?Lema mchumia tumbo amna cha Nabii angelikuwa Nabii chadema isingelikuwa hoi hivi.Alitabiri arrogant will send jpm kaburini ikawa hivyo
Wagosi waliimba hiviKunani tena?
Ndugai ana effect gani kwa Sasa, hata huyu mchungaji mzigua aliyehama chama juzi ana ushawishi kuliko J.Mbona Ndugai yupo anadunda na alisema hawezi ishi?Lema mchumia tumbo amna cha Nabii angelikuwa Nabii chadema isingelikuwa hoi hivi.
Si muwe mnaandika kwa kiswahili mnachokimudu kuliko kuandika huu ushuzi unaofanana na kiingereza?Alitabiri arrogant will send jpm kaburini ikawa hivyo
Hui ndio Jf mkuu
Mwache ajifunze Kiingereza, mkuu. Ukiona amekosea, basi unamkosoa ili ajifunze. Hakuna mtu ajuaye kila kitu - na kila mtu daima anajifunza.Si muwe mnaandika kwa kiswahili mnachokimudu kuliko kuandika huu ushuzi unaofanana na kiingereza?
Tumeonya sana humu lakini tulipuuzwa, sasa wasubiri balaa zaidiMkuu, mimi ni mfuasi wa JPM kindakindani, lakini ogopa sana mtu anayetamka jambo kwa kutumia jina la Mungu huku akimaanisha kwa imani.
Ndiyo maana ukilitumia kwa dhihaka, inakula kwako haswa!
Nasikia kuna timu ilimwomba Mungu awatumie timu ya malaika kutoka mbinguni ili wacheze nao, maana duniani kote ni vibonde. Tuliona wenyewe juzi hiyo timu ya malaika ilipocheza nao, nini kilichotokea.
Lema unaweza kusema ni aina ya watu kama akina Martin Luther King Jr. yule Mmarekani.
Hivi wewe unampangiaye mwenye ujumbe jinsi ya kuufikisha ujumbe wake? Kama unataka afanye unavyotaka, basi kuwa yeye ili ufanye utakavyo. Sijui unaelewa hata?Kwamba huyo mwenye message huwa anahitaji messenger ? Hivi kweli anashindwa hata ku realese hizo habari directly kwa kila mtu; Sababu naona teknolojia inayotumika ni ya zamani sana yaani bora hata Bluetooth..., hii ni before Morse Code
Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nosrodam wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Mkuu Numbisa , nashangaa leo hujaweka ile signecha yako ya Duh! Aiseee!Mwanzo wa kuibua manabii uchwara