Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Naweza kusema na mimi amenituma niseme wanaosema ni waongo.... Haya mambo ukiyafuatilia utaona kwamba kuna ka utapeli ndani yake...; Sababu kama amewachagua wao kwanini asinichague mimi, after all nina uhakika mengi aliyosema hayajatokea kuliko yaliyotokeaHivi wewe unampangiaye mwenye ujumbe jinsi ya kuufikisha ujumbe wake? Kama unataka afanye unavyotaka, basi kuwa yeye ili ufanye utakavyo. Sijui unaelewa hata?