Pre GE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una uwoga wa kikekike! Au wewe WAHIVYO maana hatujuani?! Anayeweza kudhulumu maisha ni rais alopewa haki isiyostahili na katiba isiyofaa!!
Hawa wengine tunamudiana labda wangepata bakapu ya rais kitu ambayo kwasasa hakuna...hatuna mad man palejuu
 
Una uwoga wa kikekike! Au wewe WAHIVYO maana hatujuani?! Anayeweza kudhulumu maisha ni rais alopewa haki isiyostahili na katiba isiyofaa!!
Hawa wengine tunamudiana labda wangepata bakapu ya rais kitu ambayo kwasasa hakuna...hatuna mad man palejuu

Ya chacha wangwe
 
Wewe umethibitisha alivyokuibia gari huyo Lema?Una kifaduro wewe.
 
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Safari hii sidhani atamkuta "mfukuza upepo" atakaye mpandisha kwenye pikipiki yake akiwa amevaa baibui na vipodozi vya amberluti.

Shauri yake.
 
Makonda ni wizi mtupu!🤓🤓😃
Wapambe wa dikteta uchwara wanatudanganya hapa eti zero brain amtishe Lema.

Halafu mleta mada yuko kwao Simiyu huko hajui kwamba kuingia hata huko Canada na kupata political asylum sio rahisi mpaka wachunguze kweli kuona unakimbia hatari na ndio kilichotokea 2020.

Anafikiri mtu unaweza kuamka tu na kukimbilia Canada kuwa unawindwa kirahisi tu.

Dikteta uchwara alitengeneza political refugees na hiyo inajulikana wazi kwenye jumuiya za kimataifa , Bashite ni muuaji inajulikana ndio maana alipigwa ban yeye pamoja na mkwewe kutia mguu hapa US.
 
Kuna uwezekano wa yeye kutimuliwa hata huko Canada
 

Bashite siyo mwizi wala ombaomba kama huyo mmachame Lema
 
Bashite siyo mwizi wala ombaomba kama huyo mmachame Lema
Kulwa Jilala una vituko !

Unafikiri kupata political asylum ni sawa na kusafiri kutoka Simiyu kwenda Mwanza?

Jielimishe ushamba ukutoke.
 
Kulwa Jilala una vituko !

Unafikiri kupata political asylum ni sawa na kusafiri kutoka Simiyu kwenda Mwanza?

Jielimishe ushamba ukutoke.

Kulwa jilala ndiyo nani?
 
Kwa sasa tumegundua kwamba Chadema ni genge la wakora wa kisiasa ambao wanatumia siasa kusaka tonge!
Hawana sera bali kuchafua CV za opponents wao kisiasa na kuendesha siasa bila sera wala hoja zenye mashiko kwa wananchi.
badala yake wanaendekeza visasi na kutukana watu hata waliotangulua mbele za haki.uwezo wa Chadema kubuni sera ndio umefikia ukomo.
uwezo wa Chadema kutetea wananchi umekwisha na sasa wanatetea mafisadi.viongozi kama Mbowe amefikia mahali anawadhurumu hata waandishi wa habari wa gazeti lililomuinua kisiasa la Tanzania Daima.
kisiasamtuou!Chadema
 

Chadema ni adui namba 3 wa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…