Pre GE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema anaongea kwa mafumbo mbona haongei waziwazi kama ally happ
 
Hawa mafahari wawili sijui wataishije. Mmoja ni mtuumiwa wa uuaji asiyetakiwa nchi yoyote ya Ulaya na usukumani. Mwingine ni mtuhumiwa wa wizi wa magari mtaalamu. Kimeumana Arusha.
 
Tutamlinda 'Rais' wetu wa kaskazini dhidi ya udhalimu na uovu wa wabaya. Tunajua kila ovu litashindwa hakuna atakayeenda kuishi uhamishoni
 
Real definition ya "unatangaza amani huku umeshika mapanga"
Unatangaza 4R alafu unachagua mtu asiyefaa (atekaye,atesaye,atishiaye,avamiaye,adharauye,atukanaye nk.) kukuwakilisha mahali maana yake unamuelewa anayofanya na hatawewe unafanya/ungefanya hivyohivyo!!
Nchi ikiongozwa kihila haiwezi kupata maendeleo ya kweli.
Katiba iloandaliwa Kwa mwezi mmoja ni mfano wa Hila katika kuongoza
 
Kuna maisha ya kufa. Utalipwa kwa kila uletenda ktk dunia hii
Wakati huo utajuta sana kwa uovu ulioutenda duniani na hakutakuwa na wa kukutetea wala kukupendelea ili upunguziwe adhabu.
 
Kama Makonda ni muuwaji kwa nini polisi wanamuacha?
Huyo Makonda yupo kwenye system hata angekamatwa Dpp atakataa kuendelea na kesi kama alivyokataa kesi ya Gekul .Lakini huyo Lema kama tuhuma zake zingekuwa genuine angefikishwa kwa majaji ambao ni wateule wa mwenyekiti wa sisiyemu mchana kweupe
 
Nabii Lema si mtu wa mchezo mchezo.That's the reality .
 

Huu sasa uchokozi, sio siasa.
 
Akimbizwe na nini katika nchi amani? Kwa hiyo Makonda, Sabaya na Gambo wanachukia na Lema mpaka wamtishe akimbie? Nyie mmeja visasi kweli kweli, acha kuwachafua akina Makonda, Sabaya na Gambo
 
Akimbizwe na nini katika nchi amani? Kwa hiyo Makonda, Sabaya na Gambo wanachukia na Lema mpaka wamtishe akimbie? Nyie mmeja visasi kweli kweli, acha kuwachafua akina Makonda, Sabaya na Gambo

Watamshinda kwa kura
 
Lema yuko hoi kisiasa kuliko muda wowote ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…