GE2025 Godbless Lema aomba kuwekwa mahabusu kwa hiari mpaka kipindi cha uchaguzi kiishe akihofia maisha yake

GE2025 Godbless Lema aomba kuwekwa mahabusu kwa hiari mpaka kipindi cha uchaguzi kiishe akihofia maisha yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"Hakuna dhambi kubwa kama uoga"

Hiyo nukuu ni ya G.Lema akihamasisha maandamano miaka ya nyuma.
 
Maandamano haya ya tarehe 29 October yameitishwa na mwanadada wa Instagram Mange Kimambi, CHADEMA haijaitisha maandamano sasa ni kwanini viongozi wetu wa CHADEMA wawindwe kama Digidigi?
sativa ni chama gani mnawasha moto alafu mnakimbilia matakoni mwa watu kujificha


fullstop, kwishaaa
 
Kaambiwa afike polisi kupewa hifadhi haendi.
Kashauza manyumbu hapo😂😂😂
 
Back
Top Bottom