GE2025 Godbless Lema aomba kuwekwa mahabusu kwa hiari mpaka kipindi cha uchaguzi kiishe akihofia maisha yake

GE2025 Godbless Lema aomba kuwekwa mahabusu kwa hiari mpaka kipindi cha uchaguzi kiishe akihofia maisha yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mpaka hapo tar 29 hamna mandamano, kupigian tu kelele, hao ndo majemedali, wamesazaa tayar nani akae mbele, wale wengne wako nje huko daah


fullstop, kwishaaa
 
Sad Samia na Kikwete ndio wametufikisha hapa kisa vyeo na utajiri?

So sad !!
Kunaweza kuwepo na ziada ya hayo uliyo yataja. Taratibu hali inazidi kujibainisha juu ya msisitizo wa AMANI, kwa upande mmoja na wengine wakiwa hawaoni maana ya amani isiyokuwa na HAKI.
 
Halafu bado watu wanasema kuna maandamano? Kizazi cha kushinikiza serikali itende haki kwa wananchi bado hakijazaliwa. Polepole na Tundu Lisu walizaliwa kwa bahati mbaya tu katika kizazi hiki, walitakiwa ama wazaliwe wakati wa kupigania uhuru kutoka kwa wakoloni ama baada ya kizazi hiki cha watu aina ya kina Lema kuondoka

Kwa style hii tutaendelea kunyanyaswa na kufanyiwa vile wanavyotaka wao kwasababu wanajua kiwango cha uoga wetu

Polepole ametwaliwa hakuna maandamano ya kumdai, halafu tuseme yatakuwepo 29 oct? Kipi kilitakiwa kuwa trigger ya maandamano zaidi ya kumdai aliyejitokeza kuwa mtetezi wa Taifa?

Nani asiyeogopa kufa? Lema ameonyesha wasiwasi na hofu ya kuuliwa, nani atasimama mbele kuongoza maandamano?

Tubaki na maandamano yetu ya keyboard za simu zetu ndicho tukiwezacho.

Ukweli unaouma!
Watu wanamzengea asiowajua na magari. Unataka afanyaje? Haya mambo usifanye utani aisee
 
Kauli rasmi ndio muhimu ili tujue kama wamepanga maandamano. Ukichukulia hivyo hata ccm wako wanaopenda hayo maandamano.

Kwanza kuteka ni ushamba na kutokujiamini na kile unachokitaka, tumia hoja na maendeleo. Leo hii mnafurahia watu kutekwa na kupotezwa kisa mnanufaika na mfumo wa kutokujushughulisha na uchafu unao endelea nchini. Hebu ni hatua gani ccm na serikali yake imechukua kutokana na watu kupotea? Mwisho wa maji ni tope.
Kwan Kuna kauli rasmi kutoka ccm/serikali kuhusika na utekaji na mauaji?
 
Nunua mashine weka kiunoni, akitokea ***** anakufuatilia unamchapa za makalioni kadhaa akahadithie wenzake.
 
Mi kwa sasa sikai kizembe natembea na panga langu ukileta za kuleta nadondosha mkono
 
Dah ukimtaja polepole unanikumbusha mbali sana. Unajua mpaka ilikuwa imebaki kidogo tu nichore tatoo yake afu kwa chini niandike "DON'T EVEN TRY" dah sijui ingekuwaje now, afu mbona siamini kama kweli katekwa. Yani najitahidi kufanya moyo wangu ukubali kuwa katekwa lakini nafsi inasema hapa si kweli.
Hivi Lema hana glock?asitembee kipimbi kama Polepole.
 
Kwani huyo ndio mratibu wa maandamano bwana paskali?

Kumbe na wewe ni hamnazo
Japo Lema sio mratibu ni influential hivyo asipoandamana Lema hakuna maandamano, take it from me, kama ukasikia kauli yoyote ya Chadema kuhusu maandamano, utaniambia
P
 
Lemma aache woga, atumie staili ya shujaa Zakaria aliyewatwanga risasi wasijulikana. R I P shujaa Hamza
IMG_20210825_132011_040.jpg
 
alaf cc tuandamane sio, we ukiwa mahala salama sio? hua siwaelwag wanasiasa wa tz


fullstop, kwishaaaa

Kwani Lema kakwambia uandamane?

No Reforms No Election haimaanidhi maandamano. Chadema hsijaitisja maandamano. Maandamano ya 29 ni ya Watanzania wote including Abdul.
 
Kwa sasa mpinzani yeyote achunge sn bado kina heche watahakikisha wale wote wenye potential kwa jamii b4 29 wako ndichi
 
Dah ukimtaja polepole unanikumbusha mbali sana. Unajua mpaka ilikuwa imebaki kidogo tu nichore tatoo yake afu kwa chini niandike "DON'T EVEN TRY" dah sijui ingekuwaje now, afu mbona siamini kama kweli katekwa. Yani najitahidi kufanya moyo wangu ukubali kuwa katekwa lakini nafsi inasema hapa si kweli.
Hii nchi kweli ina mabwege. Yaani ujichore tattoo ya Polepole??
 
Hawa walikimbia nchi enzi za Magufuli, Baada ya msiba wakarudi kwa mbwembwe kwamba nchi imefunguka sijui nchi imepona sijui nchi iko safi, kiko wapi, mambo ndio kwanza yamepamba moto zaidi. Magufuli amesingiziwa mengi na bado, mambo ndio yatakuwa magumu zaidi kwenu nyie kina Lema alafu si anajiita nabii, Nabii gani muoga muoga hivyo
JPM sio kasingiziwa, Marehemu alikuwa mtu wa action sasa unajuwa viongozi wanapewa brief nyingi na alikuwa anajuwa hawa ni watu hatari kwa Taifa wana nia mbaya na agenda kufanya fujo nchi hii, sasa JPM hakuwa anabeba kitu kifuani hasa akiona watu wanataka kufanya nchi ya vurugu. aliwachukulia hatua kali sana wapinzani fake walikimbia wote.

JPM hakuwachukia hawa bure alikuwa anajuwa nia ovu na aliweza kuwakomesha na Dr Slaa alitoa siri nyingi ovu za hawa pamoja na intelligence alijuwa, hakuna wakati wapinzani walipata tabu kama wakati wa JPM. Mama Samia kosa kubwa alilofanya kugeuza maaumuzi ya JPM kwa haraka akidhani wamebadilika ndio kosa kubwa sana alilofanya hakujuwa hawa nia yao kuleta machafuko nchi hii hawana nia njema. Leo wale waliokoswakoswa wakati wa JPM eti wanamtetea JPM na mpaka Polepole kama kina Sativa yote wapo tayari wafanye lolote kikubwa power halafu tutagombana mbele ya safari. Mungu amrehemu JPM aliona nia chafu ya hawa wanaojiita wapinzani leo tunaona. Mama alifanya kosa kubwa sana kuharakisha maamuzi juu ya hawa.
 
Sasa km yeye Lema, anataka kuwekwa mahabusu kwa hiyari, ili awe salama na familia take iwe na faraja na amani.

Vipi hawa wafuasi wake aliokua akiwahimiza waache woga, wawe barabarani kwa maandamano? Vipi hawataki kuwa salama? Familia zao je?

Hadi hapa baas, naona wenye akili wataelewa namna wanasiasa walivyo.

Lol
KATAA SIASA,KWASASA SIASA NI UTAPELI WA KIFIKRA.
 
Kwan Kuna kauli rasmi kutoka ccm/serikali kuhusika na utekaji na mauaji?
Watatoaji kauli hizo wakati ndio wahusika wa hayo. Na haitatokea kukemea hayo ni lini rais anakaa kimya juu ya utekaji kana kwamba utekaji huwo haufanyiki nchini kwake?

Ujue ccm na serikali yake wakishirikiana na vyombo vya dola ndio watekaji na wauaji wa wananchi hasa wa chadema.
 
Hawa ndio watu wanaojitambua!.
Tukiwaambia watu humu, October 29 hakuna maandamano yoyote, hamuamini, sasa kamanda huyu anajikabidhi mwenyewe kwa Samia, bado kuna mtu anayeamini kuna maandamano yoyote October 29th?.
P
Sioni mtu wa kuandamana, ss watanazania tumeridhika na haya maisha sema sema TU wanatulazimisha tuandamane
 
Back
Top Bottom