Umsolopagaasi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 940
- 975
Write your reply...anatetea familia yake na sio nyumbu
we ni mgeni hapa?Wewe ni nani amekuambia uandamane?
Hawa walikimbia nchi enzi za Magufuli, Baada ya msiba wakarudi kwa mbwembwe kwamba nchi imefunguka sijui nchi imepona sijui nchi iko safi, kiko wapi, mambo ndio kwanza yamepamba moto zaidi. Magufuli amesingiziwa mengi na bado, mambo ndio yatakuwa magumu zaidi kwenu nyie kina Lema alafu si anajiita nabii, Nabii gani muoga muoga hivyoAnaandika Godbless Lema kwenye mtandao wa Instagram hivi leo
Mheshimiwa Rais,
Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze kufurahia wajukuu wangu ikiwa Mungu atanijalia maisha marefu. Kila mtu anatamani kuishi maisha marefu yenye amani na uzee mwema. Kwa sasa, kuna watu ambao wananifuatilia kwa karibu sana. Hata jioni ya leo, wameonekana maeneo ya nyumbani kwangu, na nina hofu kwamba wangeweza hata kumdhuru mtu yeyote ambaye si mimi. Kwa hali hii, naona ni bora nijiweke mikononi mwa mamlaka kwa hiari yangu kuliko kuendelea kuishi kwa hofu kila siku.Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama.
Ninaomba kwa moyo mkunjufu ulinzi na msaada wako, Mheshimiwa Rais.
View attachment 3489578
Wewe lofa hakuna sehemu CHADEMA wamesema wataandamana ebu acheni UJINGA wa kwenye mitandao.alaf cc tuandamane sio, we ukiwa mahala salama sio? hua siwaelwag wanasiasa wa tz
fullstop, kwishaaaa
"Safari hii Kuna kila dalili itabuma tena. Nitarudije Canada? Mbinu ni ileile ni lazima kutengeneza Mazingira"🤣🤣🤣🤣Anaandika Godbless Lema kwenye mtandao wa Instagram hivi leo
Mheshimiwa Rais,
Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze kufurahia wajukuu wangu ikiwa Mungu atanijalia maisha marefu. Kila mtu anatamani kuishi maisha marefu yenye amani na uzee mwema. Kwa sasa, kuna watu ambao wananifuatilia kwa karibu sana. Hata jioni ya leo, wameonekana maeneo ya nyumbani kwangu, na nina hofu kwamba wangeweza hata kumdhuru mtu yeyote ambaye si mimi. Kwa hali hii, naona ni bora nijiweke mikononi mwa mamlaka kwa hiari yangu kuliko kuendelea kuishi kwa hofu kila siku.Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama.
Ninaomba kwa moyo mkunjufu ulinzi na msaada wako, Mheshimiwa Rais.
View attachment 3489578
Twende tukatombane tu baby, siasa zimenishinda. 🫠🫠JPM alisingiziwa mengi sana 😂
Sijui mnafaidika nini hasa kuandika ujunga wa namna hii. Umeshawahi kulala mahabusu hata usiku mmoja tu ukaona mazingira yake?Ameshakula hela huyu
Hapo anafagilia kuwa mahabusu ni salama zaidi ndani hii serikali....
Kama ilivyokua kwa Mdude.natamani niseme anatafuta kiki ila Kwa Tanzania ya Sasa Si ya kufanya masihara na uhai wa mtu.
Unaweza ukambeza wakapita nae kweli pole sana
Mkuu hata sasa Lissu angekua dingi yangu tungegombana sana suala la yeye kua bongo.Mwaka 2017 TAL naye aliwahi kusema hivyo kuhusu tishio la kufuatiliwa kwake
Alienda mbali zaidi hadi kutaja namba ya gari iliyokuwa inamfatilia
Baadhi yetu humu tulihisi labda ni Kiki/kutafuta huruma
Kilichofuatia September 7, 2017 Kila mmoja anajua
Hadi muda huu jamaa anatembea na risasi kwenye mwili wake, na tayari ameshapata ulemavu wa kudumu 🙌
Anaandika Godbless Lema kwenye mtandao wa Instagram hivi leo
Mheshimiwa Rais,
Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze kufurahia wajukuu wangu ikiwa Mungu atanijalia maisha marefu. Kila mtu anatamani kuishi maisha marefu yenye amani na uzee mwema. Kwa sasa, kuna watu ambao wananifuatilia kwa karibu sana. Hata jioni ya leo, wameonekana maeneo ya nyumbani kwangu, na nina hofu kwamba wangeweza hata kumdhuru mtu yeyote ambaye si mimi. Kwa hali hii, naona ni bora nijiweke mikononi mwa mamlaka kwa hiari yangu kuliko kuendelea kuishi kwa hofu kila siku.Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama.
Ninaomba kwa moyo mkunjufu ulinzi na msaada wako,
Inchi imeharibika.. bado kuna ya kusikitisha zaidi yanakuja. Tayri kunataarifa za maiti kuokotwa huko tanga na kibahaAnaandika Godbless Lema kwenye mtandao wa Instagram hivi leo