Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Huyo Mgambo mbogamboga wenzie hawampi kura,ije kuwa wanachadema??? acha ndoto za mchana.. Pesa na northern zone ni Chanda na Pete watakula za mbogamboga ila kura CHADEMA..
Upo sahihi
 
EEBANA EEH , SALUTE KWENU WADAU WA A-TOWN, MMEWACHAPA CCM NA VIBARAKA WAO NGUMI KIBAO ZA USO, WAKAFIE MBELE.
 
Hali ya CCM ni mbaya kweli kweli,muda huu wapo kikaoni wanamlaumu DC kaboringa sana.Mwenyekiti wa CCM Mkoa RPC Mstaafu Zelot anataka wajumbe wa kamati ya Wilaya ya kutafuta mbinu mbadala mapema ndani ya week 2 kabla jahazi halijazama kabisa.
 
OKW BOBAN SUNZU anasemaje ndugu Wananchi wa JMT?!
Kama kuna taarifa za ndani kuhusu hujuma hapo sawa.Ila kama ni kujisemea sababu kumekuwa na mechi huo ni ujinga. Shughuli lazima ziendelee na Simba wapo kazini AFC wapo kazini wanatafuta posho za wachezaji. Jana ACT imezindua kampeni na ilikuwa Yanga Day.
 
Ungekuwa sio mpumbavu ungeelewa kilichoandikwa,na umeniita mpumbavu kwasababu ya upumbavu wako.
 
Huyo nae kachanganyikiwa mechi ya Simba wamelipa kiingilio na hakukuwa na wasanii.Kwani kampeni shughuli nyingine haziendelei au.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…