Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mradi simba ashalipwa chake mapema na wenye mipango hovuNipo Sheikh Amri Abeid....daaah
Chadema wameharibu kabisa radha ya huu mchezo, watu ni hamnaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi simba ashalipwa chake mapema na wenye mipango hovuNipo Sheikh Amri Abeid....daaah
Chadema wameharibu kabisa radha ya huu mchezo, watu ni hamnaaa!!
Twende kazi.Watasema hawakuwa na smartphone, watasingizia walinyang'anywa na walinda amani (malalamiko mengine). Na TBC ndio waliwafukuza jana, hawataki coverage ya mikutano yao.
Zitto alisha twambia ila hatukumuamini kipindi kileTatizo washamba wote
Unastahili lile tusi la Maalimu seif,,,kaongelee chumbani kwako..
Kuna mdhamini kaitisha pambano hili?Mradi simba ashaliowa chake mapema na wenye mipango hovu
Ushahidi huu hapa.Nipo Sheikh Amri Abeid....daaah
Chadema wameharibu kabisa radha ya huu mchezo, watu ni hamnaaa!!
Kweli kwa sasa tunajiandalia mustakabali wa maisha yetu ya baadaeTutaangalia marudio.
Hiyo mechi haina umuhimu kwa sasa!
Upo sahihiHuyo Mgambo mbogamboga wenzie hawampi kura,ije kuwa wanachadema??? acha ndoto za mchana.. Pesa na northern zone ni Chanda na Pete watakula za mbogamboga ila kura CHADEMA..
Hiyo tv hana na kama anayo basi channel yake ni zile za bureMkuu mpira huu uko live hivyo unaweza ukatazama mwenyewe
Ccm haoKuna mdhamini kaitisha pambano hili?
EEBANA EEH , SALUTE KWENU WADAU WA A-TOWN, MMEWACHAPA CCM NA VIBARAKA WAO NGUMI KIBAO ZA USO, WAKAFIE MBELE.Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
[emoji23][emoji23][emoji23]Ccm hao
Kama kuna taarifa za ndani kuhusu hujuma hapo sawa.Ila kama ni kujisemea sababu kumekuwa na mechi huo ni ujinga. Shughuli lazima ziendelee na Simba wapo kazini AFC wapo kazini wanatafuta posho za wachezaji. Jana ACT imezindua kampeni na ilikuwa Yanga Day.OKW BOBAN SUNZU anasemaje ndugu Wananchi wa JMT?!
Ungekuwa sio mpumbavu ungeelewa kilichoandikwa,na umeniita mpumbavu kwasababu ya upumbavu wako.Acha kufuru ya kipumbavu namna hiyo.
Sir God yupo kila mahala huwezi mlinganisha na kitu chochote. Usifikiri kuwa upinzani ndo kwenda mbinguni . Hebu fikirini vizuri jamani laana Zingine tunajitakia wenyewe. Kumlinganisha Mungu na chama kweli? Big noooooooooo.
hamuna kitu......Cheki ya chadema
Huyo nae kachanganyikiwa mechi ya Simba wamelipa kiingilio na hakukuwa na wasanii.Kwani kampeni shughuli nyingine haziendelei au.Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.
Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.
Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.
My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?
Maendeleo hayana vyama!