Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Wajipange tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Ni aibu Sana kwa Klabu ya Simba!
 
Mkuu sasa unategemea kama simba wenyewe wangekuwa na uamuzi gani zaidi ya kukubali maagizo ya mooooo?
Simba wenyewe kama sio maagizo wangeenda kwa Lissu. Binafsi siwalaumu kwa kuwa wanafanya kazi kwa mujibu wa mikataba yao.

Kwa maana ya kufanya maandalizi wamefanikiwa 100%, wenye shida ni waliotaka kuwatumia kufanikisha upuuzi wao ambao umefeli.
 
Simba wenyewe kama sio maagizo wangeenda kwa Lissu. Binafsi siwalaumu kwa kuwa wanafanya kazi kwa mujibu wa mikataba yao.

Kwa maana ya kufanya maandalizi wamefanikiwa 100%, wenye shida ni waliotaka kuwatumia kufanikisha upuuzi wao ambao umefeli.
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Kwa hiyo Lemma alitaka shughuli zingine zisimame kisa Chadema wanafanya mkutano Arusha? Kila mtu afanye jambo lake
 
Msianze kutapatapa na huyo lissu wenu kwa kutafuta Huruma kwenye vilabu vyetu.

Kwani hata Kama wameweka kiingilio bure si nikwaajili ya Mashabiki wao wa Arusha, Wanahusiana na je na mikutano yenu?...
Ameacha kulaumu Yanga jana, je walihujumu mkutano wa segerea
 
Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme

WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!

Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!

Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu

Anatokea mjinga mmoja anatuambia hali za maisha ya watu zimeimarika.
 
Mna hoja za kijinga sana na mnapotosha umma,jikiteni kueleza hoja achen propaganda pumbafu
 
Kamanda baadae utume picha wakiwa wanapitisha mabakuli kamanda.
Ninyi mnaringa kwa kuchota kwenye kibubu Cha taifa siyo! Ndio maana mlisimamisha nyongeza za mishahara ya wafanyakazi ili mdundulize za kufanyia kampeni! Mtazitapika tu ipo siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…