Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Zimearika sana ndo maana beneficiaries wa TASAF walivyoahidiwa kununuliwa ndege tano zaidi uwanja wa jamhuri ukalipuka
 
Hao wanao sema kuwa hali za wananchi ni mzuri hawatakii mema watanzania
 
Kwi kwi kwi kwi kwiiiii!!!!
Hii drone iliyotumika kupiga picha hapa uwanjani tutaishtaki Kwa kutuhujumu
 
Lissu kanyaga twende...!!![emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1752][emoji1752]
Na hatumwachi, twakanyage naye bega kwa bega mkombozi wa Tanzania iliyododeshwa na Bwana "Kamongo"
 
Eti wanajitambua!! Hebu acha uvuvuzela dada! Usitake tuseme tabia za watu wa Arusha wanaomuunga mkono Lema na wala si wana Arusha wote!
Unacho bisha nn bac wajaribu kumpitisha gambo bila kupingwa
 
Nilichokiona wapinzani wengi akili zo huwa ni nyepesi kulishwa matango poli yani mmoja akisema hili basi wote wanafata mkumbo yani Simba ishindwe kufanya maandilizi kisa nyie mnafanya mkutano wenu
 
Acha udwazi mtoa mada. Watu wasifanye yao kisa Lissu.
 
Kwa sasa wanajitambua ndiyo maana wanamtaka Gambo lema hana issue tena hawasaidii wananchi wake kakalia makesi tu.
Lema hakufungua kesi hizo. Ni nguvu yake ya kisiasa iliyomsababishia kisasi cha serikali kumfungulia kesi. Hata wewe wajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…