Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Zimearika sana ndo maana beneficiaries wa TASAF walivyoahidiwa kununuliwa ndege tano zaidi uwanja wa jamhuri ukalipukaAtokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme
WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!
Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!
Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu
Anatokea mjinga mmoja anatuambia hali za maisha ya watu zimeimarika.