Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Arusha hakunaga [emoji230][emoji230] [emoji230] wengi kama dodoma kwenye [emoji230] wa ccm
 
Umesahau Chadema wamepiga marufuku bidhaa za Mo kwa sababu ya kumuunga mkono JPM? sasa Mo ni Simba unalalamika nini wacha iingie na utaona ujinga wa Chadema kufanya maamuzi bila kufikiria
Tumeona sote jana, watu wote waliungana na SIMB kumfurahisha mkandamizaji, CHADEMA walikosa watu kabisa
 
Sheikh Abeid uwanja ni wa CCM, Simba hawakuwa na ratiba ya mechi nyingine ila wamelipwa na CCCM wabaki na kucheza bure ili mkutano wa "muujiza unaoishi" ukose watu, sasa m binu zimeshindikana, Lissu watu wamekwenda wakawaacha nyie wakandamizaji na wafurahiaji sijui mnafaidika na kitu gani
 
Hao ni watu tu kimwili lkn roho zao ni sawa na chui au nyoka koboko
 
Ndugu Muda mwingine Hawa wachumia siasa wanakosaga Akili wanabakiza za kuvukia barabara tu.
Wewe mwenyewe ulizo bakishiwa ms chakubanga ni za kukupeleka msalani tu
 
Yah! Pia kama ni kweli ikiwa Mo alileta siasa pale Benjamin Mkapa Stadium siku ya Simba Day! Halafu suala la Yanga na ACT hapo haliingii!!
 
Simba aibu walivuna hawatasahau
 
Ccm ni washamba sn wanambinu za kitoto na kilimbukeni wkt tupo kidigitally zaidi.....
Ningekua mm ndo mwenyekiti ningewafuta kazi polepole na Bashiru with immediate effect....

Makauzu sn haya majamaa.....

#MSICHEZE NA NGUVU YA UMMA
#WATZ WANATAKA MABADIRIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…