mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Swaga za wavuta bangiSoma PM mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swaga za wavuta bangiSoma PM mrembo
Arusha hakunaga [emoji230][emoji230] [emoji230] wengi kama dodoma kwenye [emoji230] wa ccmMgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.
Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.
Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.
My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee wewe ndio mbwiga!Acha udwazi mtoa mada. Watu wasifanye yao kisa Lissu.
Tumeona sote jana, watu wote waliungana na SIMB kumfurahisha mkandamizaji, CHADEMA walikosa watu kabisaUmesahau Chadema wamepiga marufuku bidhaa za Mo kwa sababu ya kumuunga mkono JPM? sasa Mo ni Simba unalalamika nini wacha iingie na utaona ujinga wa Chadema kufanya maamuzi bila kufikiria
Sheikh Abeid uwanja ni wa CCM, Simba hawakuwa na ratiba ya mechi nyingine ila wamelipwa na CCCM wabaki na kucheza bure ili mkutano wa "muujiza unaoishi" ukose watu, sasa m binu zimeshindikana, Lissu watu wamekwenda wakawaacha nyie wakandamizaji na wafurahiaji sijui mnafaidika na kitu ganiTatizo nyie wana Siasa mnataka kuingiza siasa zenu kila, sehemu, watu waache kucheza mpira mjini, eti sababu kuna mkutano.
Jana tamasha la yanga Dar liliendelea, halikusimamisha, mikutano iliyofanyika Dar.
Muiambie TFF, ligi isinza basi mpaka, uchaguzi upite.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Furahisha,tumemuagiza MadonnaWapi hapo mkuu?
Hapo Gobo Gobo linatosha tu na kina oil chafuFurahisha,tumemuagiza Madonna
Hao ni watu tu kimwili lkn roho zao ni sawa na chui au nyoka kobokoSheikh Abeid uwanja ni wa CCM, Simba hawakuwa na ratiba ya mechi nyingine ila wamelipwa na CCCM wabaki na kucheza bure ili mkutano wa "muujiza unaoishi" ukose watu, sasa m binu zimeshindikana, Lissu watu wamekwenda wakawaacha nyie wakandamizaji na wafurahiaji sijui mnafaidika na kitu gani
Wewe mwenyewe ulizo bakishiwa ms chakubanga ni za kukupeleka msalani tuNdugu Muda mwingine Hawa wachumia siasa wanakosaga Akili wanabakiza za kuvukia barabara tu.
Kuwa na adabu basi wewe, litaje kwa heshima jina la rais mtarajiwa mh Lissu.Acha udwazi mtoa mada. Watu wasifanye yao kisa Lissu.
Yah! Pia kama ni kweli ikiwa Mo alileta siasa pale Benjamin Mkapa Stadium siku ya Simba Day! Halafu suala la Yanga na ACT hapo haliingii!!Kama kuna taarifa za ndani kuhusu hujuma hapo sawa.Ila kama ni kujisemea sababu kumekuwa na mechi huo ni ujinga. Shughuli lazima ziendelee na Simba wapo kazini AFC wapo kazini wanatafuta posho za wachezaji. Jana ACT imezindua kampeni na ilikuwa Yanga Day.
Amezidi kujikomba aiseeAnaogopa kufurushwa biashara zake na dikteta.
Alafu usishangae walimteka hao haoMudi ni member wa mataga
Ndivyo walivyo,wanakuminya na kukupeleka watakavyoAlafu usishangae walimteka hao hao
Simba aibu walivuna hawatasahauMgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.
Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.
Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.
My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?
Maendeleo hayana vyama!
Jamaa anaiburuza timu kama atakavyoNdivyo walivyo,wanakuminya na kukupeleka watakavyo
Utadhani wanachezea Arabuni kumfurahisha taycoonSimba aibu walivuna hawatasahau
Yani tumedhalilika sana hata ndondo cup wanajaza aise simba ni brand kubwa haitakiwi kuchezewa vileSimba aibu walivuna hawatasahau
CCM Arusha mtatapika damu.Kwa sasa wanajitambua ndiyo maana wanamtaka Gambo lema hana issue tena hawasaidii wananchi wake kakalia makesi tu.