Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Kwenye tamasha la kijani bwashee?
Bwashee kuna dalili za watu kupata heart attack, maana si kwa aibu hizi wanazopata.

Wananchi wanawapiga ngumi za uso tu, hawataki kibalaka wa mabeberu na ushoga, namshauri aende Mombasa kwa kuwa ana damu ya Kenya na ni wakala wa ushoga kuwa ni haki ya faragha, Mombasa watampa vyote 😁
 
Mkuu, hili la bure si kweli, jana nlkuwa kwenye game, na usiku gari la matangazo lilikuwa linataja kiingilio. Sababu zingine ni za kitoto kabisa. Kwa hiyo ile siku ya jana ya mwananchi mbona hamkulalamika? Kama unajiamini, kuna haja gani kuanza kulalama mitandaoni? Your poor campaign strategy, usiwe mzigo Kwa wananchi. Ama kweli kama nilivyosema Chadema haina mathink tanks kwa sasa.
Kumbe kuna kiingilio?

Nilitaka kushangaa Simba na Bure wapi na wapi bwashee? Labda angekuwa yule Yusuf Manji wa Zambia!
 
CCM wameshindwa kulea na kuendeleza demokrasia nchini. Inasikitisha sana aina ya siasa waliyoamua kufanya.

Uzuri dunia inazunguka, kuna siku watakuja nao kufanyiwa vitimbi hivi hivi ndiyo wataelewa.
Mkuu demokrasia ni watu sio CCM. Upinzani wameshindwa kuwa na direction unategemea wananchi wafanyeje sasa

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
CCM wameshindwa kulea na kuendeleza demokrasia nchini. Inasikitisha sana aina ya siasa waliyoamua kufanya.

Uzuri dunia inazunguka, kuna siku watakuja nao kufanyiwa vitimbi hivi hivi ndiyo wataelewa.
Sidhani kama CCM wanaamini uwepo wa Mungu,yaani CCM yenyewe ndio Mungu wao kwahiyo dunia inaweza ikazunguka lakini Tanzania ikasimama kwa uwezo wa Mungu wao, hawajawahi kufikiria kwamba lolote wakati wowote linaweza likatokea kwasababu wamejenga imani kubwa sana kwa huyo Mungu wao CCM.
 
Hivi Lema anafikiri kuongea na mtu siku moja ndio kutambadirisha mtu. Alikuwa miaka 5 ya kujipambanua kwa wadau kama alishìndwa kuutumia muda huo vizuri asitegemee hii siku moja ya leo itasaidia kitu.
 
Lissu ndiye Rais wa watanzania wanyonge.
 
CCM wameshindwa kulea na kuendeleza demokrasia nchini. Inasikitisha sana aina ya siasa waliyoamua kufanya.

Uzuri dunia inazunguka, kuna siku watakuja nao kufanyiwa vitimbi hivi hivi ndiyo wataelewa.
Msitupangie, si mnajifanya mnaushawishi? Tuone sasa
 
Eti wanajitambua!! Hebu acha uvuvuzela dada! Usitake tuseme tabia za watu wa Arusha wanaomuunga mkono Lema na wala si wana Arusha wote!

Tutaona Endapo Magufuli popote endapo

Huo upumbavu utafanyika
 
•Hujuma nyingi zina fanyika leo, kuhujumu Mkutano wa Mgombea URAIS CHADEMA Arusha leo
1) Tamasha la wasanii bure
2) Mechi ya Simba bure.
CCM leo,mtaijua Arusha vizuri, kwamba Jiji bado liko CHADEMA.
ARUSHA NI CHADEMA NA CHADEMA NI ARUSHA na Mbunge ni Mimi mwenye tweeter hii•
FB_IMG_15988513781308591.jpg
 
Watu wamelipia Pesa yeye anasema Bure
Aache ujinga
Mechi ya Simba ilikuwepo kitambo kwenye Ratiba
 
Back
Top Bottom