Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Hakika CCM wanacheza ngoma za CHADEMA, wanajaribu kuwahujumu lakini wapi bwana.

Arusha wameleta mpira bure ili mashabiki waende lakini wapi. Tamasha la mziki nalo hoi.

Huko serengeti wamebadilisha matumizi ya uwanja. Tunasubiri CCM wacheze ngoma ya CHADEMA huko Mwanza.

Arusha wamekata umeme, ila smarti zina chaji na majenereta yapo labda wakate network
 
Ukiangalia anga nalo jeupe peee....hata ndege wamekataa kukatiza.
 
Me ningekuwa apo Arusha ninge wakabidhi card yangu ya Simba waichome moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…