Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

118680098_1695891747236500_3724675283564805813_o.jpg

inaweza kuwa hujuma lakini sio bure
 
Mkuu, hili la bure si kweli, jana nlkuwa kwenye game, na usiku gari la matangazo lilikuwa linataja kiingilio. Sababu zingine ni za kitoto kabisa. Kwa hiyo ile siku ya jana ya mwananchi mbona hamkulalamika?

Kama unajiamini, kuna haja gani kuanza kulalama mitandaoni? Your poor campaign strategy, usiwe mzigo Kwa wananchi. Ama kweli kama nilivyosema Chadema haina mathink tanks kwa sasa.
118680098_1695891747236500_3724675283564805813_o.jpg
 
Lema mbunge wangu Lissu tutamchagua tu hata kama hatupo kwa mkutano...
 
Hizi timu mpira zimeshindwa zimebaki kujiingizia vidole kwenye sehemu ya haja
 
Simba kama inajiunga na genge la wahalifu Yanga kuwa upande wa wakandamizaji narudisha kadi, haina maana,
Tatizo nyie wana Siasa mnataka kuingiza siasa zenu kila, sehemu, watu waache kucheza mpira mjini, eti sababu kuna mkutano.
Jana tamasha la yanga Dar liliendelea, halikusimamisha, mikutano iliyofanyika Dar.
Muiambie TFF, ligi isinza basi mpaka, uchaguzi upite.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Lema aanze kutafuta kazi nyingine ya Ubunge tayari ni Gambo.
Lema hana mpinzani Arusha. Kama mna jiamini matamasha ya nini? Mkuu wa mkoa yuko anaongea na wamachinga,
Ati mpira wa simba na Afx.
Hivi Magu angekuwa ndie yeye yuko Arusha haya yote mnge fanya?
Hizi zote ni ishara za woga.
 
CCM akili sifuri wamesema tuna ndege 11 na wataongeza ndege 5, CCM wana laana, watu hawana maji safi wao wanatuletea upuuzi.
Je wewe umeshawai kunywa maji machafu?? Tuanzie hapo Kwanza .........mbona unapenda kuongelea wengine??....…........😁😁😁😁mbona ukipata pesa umuombei dua na mwenzanko apate unasema ni ujinga wake ajishugulishi......think loud u
 
CCM akili sifuri wamesema tuna ndege 11 na wataongeza ndege 5, CCM wana laana, watu hawana maji safi wao wanatuletea upuuzi.
Mtukaneee ila naomba ka picha hata ka msafara kutoka kia tuone mtoa maono wetu
Anavyo pendeza.
Jamani hakuna hata mwenye ka smartphone hapo njiani?
 
Bwashee! Si anaogopa kukosa watu? Basi akakae tamashani na Baada ya tamasha ahutubie, kwani kunazuwio?😂😂
Yaonekana umeambiwa karibu utaahidiwa kujengewa daraja la baharini huko kijijini kwenu mkoa wa Katavi. Ongeza bidii.
 
Chakufanya apo ni kuwatangazia watu kuwa mkutano wa CHADEMA unaanza saa Tisa hadi saa kumi na nusu. Hakuna kitakachoharibika (watu watashuhudia vyote).
 
Hiyo mechi ya Simba Vs AFC kiingilio ni 5000 mzunguko na 10,000 VIP sio bure.
 
Hiyo mechi ya Simba Vs AFC kiingilio ni 5000 mzunguko na 10,000 VIP sio bure.
Wasalimie sie wenzenu, tumechoka baada ya safari ndefu toka Dodoma kwenye mkesha wa tamasha la taifa la muziki, kurudi kwetu Igulumbiro.
 
Back
Top Bottom