Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

CCM akili sifuri wamesema tuna ndege 11 na wataongeza ndege 5, CCM wana laana, watu hawana maji safi wao wanatuletea upuuzi.
Mtukaneee ila naomba ka picha hata ka msafara kutoka kia tuone mtoa maono wetu
Anavyo pendeza.
Jamani hakuna hata mwenye ka smartphone hapo njiani?
Picha saivi zipo kwa fundi Maiko anafanya kazi yake 🤣
😁😁😁😁
 
Mtukaneee ila naomba ka picha hata ka msafara kutoka kia tuone mtoa maono wetu
Anavyo pendeza.
Jamani hakuna hata mwenye ka smartphone hapo njiani?

😁😁😁😁

Wasisahau na picha ya mabakuli yakiwa yanapita.
 
Mimi ni shabiki wa Simba waitangaze Simba kama CCM
 
Bwashee! Si anaogopa kukosa watu? Basi akakae tamashani na Baada ya tamasha ahutubie, kwani kunazuwio?😂😂
Bwashee Simba nayo inakaribia kuwa CCM me ni shabiki wa Simba ila ikitangazwa kama tawi la Lumumba nina kuhakikishia Bwashee nita choma card yangu ya Simba
 
Lema anafeli.Hatakiwi kupoteza focus.Yaani badala ya kunadi ujio wa Lissu ye ananadi wasanii na mpira.
 
Wakuu Salamu toka Arusha na vitongoji vyake.

Uwanja wa Shekh Amri Abeid na tamasha uwanja wa Kilombero hakuna watu ni aibu tupu kama si fedhehea.

Wana Arusha wapo uwanja wa Relini wamejaa tele hakuna nafasi ya kutema mate.Hakuna nafasi ya kujigeuza wala kujinasi ni nyomi ya kutosha na kusikitisha kwa wenye hila na hiyana.

Mkuu wa Wilaya njoo na style nyingine hii imebuma vibaya mno,tamasha tuwekee kesho leo tunasikiliza sera na miongozo ya Mh Lissu mmekata umeme lakini haisaidii asilani.
1598884778801.png

Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.

Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.

Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.

Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.

Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
 
Simba kama inajiunga na genge la wahalifu Yanga kuwa upande wa wakandamizaji narudisha kadi, haina maana,
Umesahau Chadema wamepiga marufuku bidhaa za Mo kwa sababu ya kumuunga mkono JPM? sasa Mo ni Simba unalalamika nini wacha iingie na utaona ujinga wa Chadema kufanya maamuzi bila kufikiria
 
Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.

Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.

Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.

Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.

Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.
Screenshot_20200831-165002.jpg
 
Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.

Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.

Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.

Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.

Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Shehe Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Ya lini hii?
 
Piga na jukwaani basi mkuu!!
 
Mtukaneee ila naomba ka picha hata ka msafara kutoka kia tuone mtoa maono wetu
Anavyo pendeza.
Jamani hakuna hata mwenye ka smartphone hapo njiani?

😁😁😁😁
Watasema hawakuwa na smartphone, watasingizia walinyang'anywa na walinda amani (malalamiko mengine). Na TBC ndio waliwafukuza jana, hawataki coverage ya mikutano yao.
 
Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.

Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.

Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.

Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.

Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Shehe Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Lissu kanyaga twende...!!![emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1752][emoji1752]
 
Back
Top Bottom