Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Ccm Arusha ni sawa na mafuta na maji
xc35c4frgtw41.jpg
 
Lema afungashefungashe mwenye jimbo lake keshafika Mrisho Gambo.
Huyo Mgambo mbogamboga wenzie hawampi kura,ije kuwa wanachadema??? acha ndoto za mchana.. Pesa na northern zone ni Chanda na Pete watakula za mbogamboga ila kura CHADEMA..
 
Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.

Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.

Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.

My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?

Maendeleo hayana vyama!
Lema aliwaambieni mapema.
Screenshot_20200831-175942.jpg
 
Back
Top Bottom