Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ccm Arusha ni sawa na mafuta na maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm Arusha ni sawa na mafuta na maji
Huu ni ujumbe hatari Sana kwa MagufuliView attachment 1554429
Hawawezi kutoa picha, watakuletea picha 2015 wakati Lowasa.Kapicha kamanda au picha nayo mpaka viongozi wa edit?
Watu waliofulika napo hakuna picha mnaogopa nini?
Video clip hii hapo ya mh Lissu leo hii hapa ArushaHawawezi kutoa picha, watakuletea picha 2015 wakati Lowasa.
Wapi hapo mkuu?Pale labda tumlete Madonna..
Atakufa mtu kwa pressure
Mazuzu ya lumumba watasema hizi ni za 2015[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakufa mtu kwa pressure
Huyo Mgambo mbogamboga wenzie hawampi kura,ije kuwa wanachadema??? acha ndoto za mchana.. Pesa na northern zone ni Chanda na Pete watakula za mbogamboga ila kura CHADEMA..Lema afungashefungashe mwenye jimbo lake keshafika Mrisho Gambo.
Mkuu mpira huu uko live hivyo unaweza ukatazama mwenyewePiga na jukwaani basi mkuu!!
Aibu hii.Hawawezi kutoa picha, watakuletea picha 2015 wakati Lowasa.
Jamaa wana mbinu za kitoto sana
Lema aliwaambieni mapema.Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.
Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.
Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.
My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?
Maendeleo hayana vyama!