Godbless Lema: Hatupingi Uwekezaji Bandarini, ila Serikali irekebishe yanayopigiwa kelele na wananchi

Godbless Lema: Hatupingi Uwekezaji Bandarini, ila Serikali irekebishe yanayopigiwa kelele na wananchi

Atakaeonyesha msimamo kusema ukweli wazi kuhusu huu mkataba ndio mwanaume

mkataba una kasoro nyingi sana,wanao unga mkono ni wale wanaowaza kesho yao zaidi sio nchi zaidi

hamna aliepinga huu mkataba ila vipengele vya mkataba ndio watu wanavipinga,mtu unapokuja kusema

unakubaliana na mkataba na kuunga hoja mkono na kuishia hapo huo nauona ni uoga na ukunguru.
 
Watanzania hawapingi uwepo wa Wawekezaji wa kigeni hapa nchini, wanachopinga ni uwepo wa masharti/vipengele vibovu visivyofaa vya kuuza nchi vilivyopo ndani ya Mkataba wa uwekezaji. Wafuasi wa vyama vya siasa msipotoshe Jambo hili. tafadhali sana.
Wanafanya spinning za kitoto sana
 
Kipi kipya? Kweli akili huna. Kuna mtu anapinga uwekezaji?
 
Ajisemee Roma Upinzani hawaamini wanakatika DJ amezima muziki...
Kule kwenye uzi wa Lissu wanasema vivaa na picha za magu wanapost... huku nako vivaaa viva Lema... ni mwendo wa mauno tuu
 
Dah! Sijui ni semeje ila sisi wote ni watu wenye dhambi ila nimekuwa mgumu kuamini kama dhambi zinalingana kama wachungaji wanavyo niambia na mtunishi mmoja akaniambia unaweza kufanya ubaya sana lakini ukitubu dakika za mwisho hapohapo Mungu anakusamehe.

Kuna watu wanawachanganya wenzao kisa maslai yao binafsi na huku wanaijua kweli kama hapa tuna wachuza ama tuna watetea wenzetu ambao hawajui sana hivi vitu ila wanaimani na sisi kama wasomi tulio soma Ili kulitatulia matatizo hili Taifa linapopitia changamoto Fulani kulingana na ujuzi WA Kila wasomi husika ama pia kuliendeleza na kuwaambia ukweli watanzania kwamba kipi ni sahii na kipi si sahii

Kunawatu watachomwa moto vibaya mno labda Mwenyezi Mungu asiwepo ama wanavyo sema Kuna moto usiwepo.Amakuna watu washajua stori za Mungu ni uongo tu ulio kithiri kabisa.

MNATUCHANGANYA ATUELEWI NI NANI ANASEMA KWELI NA KUWEKA MASLAI YA TAIFA MBELE NA NANI ANAPOTOSHA KWA SABABU YA MASLAI BINAFSI.

MTU MWEUSI NCHI YAKO NI IPI,BALA LAKO NI LIPI MBONA UNAFANYA MAMBO NDANI YA ARDHI YAKO KANA KWAMBA SIO ARDHI YAKO UNAYOISHI NA ITAKAYO KALIWA NA KIZAZI CHAKO.
 
Huyu lema na elimu yake ya hapa na pale sijui kama anaelewa kinachopingwa
Wewe mwenye elimu ya maana unaweza kuta unashikiwa akili, kuna kitu una mzidi Lema? Lema akifa hata leo nchi nzima watajua, wewe zaidi ya Familia yako na ndugua zake nani mwingine atajua? Pita hivi
 
Back
Top Bottom