MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Na wewe si ukahongwe?Mbowe kahongwa hela na wakenya ahujumu maendeleo ya Tanzania na kamwe hatafanikiwa nchi ipo ktk mikono salama chini ya jemedari amir jeshi mkuu dk Samia Suluhu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe si ukahongwe?Mbowe kahongwa hela na wakenya ahujumu maendeleo ya Tanzania na kamwe hatafanikiwa nchi ipo ktk mikono salama chini ya jemedari amir jeshi mkuu dk Samia Suluhu
MKATABA MKATABA MKATABAHakuna tatizo uwekezaji.
Tatizo linakuja pale mkataba unakufunga usiwe huru.
Ni punguani na hayawani tu anayeweza kukubali uwekezaji wa milele wa rasilimali za umma kwa kampuni kisa tu hiyo kampuni ni ya wajomba wako
Pimbi wewe mambo dini unayaleta ya nini mamayo!!!!Wapuuzi wanapenda sana kujikombakomba kwa waarabu wakati hata huko Hijjah wanapokwenda wananyanyapaliwa kichizi
Mbowe na Maisha nazani hata Baba yako hajazaliwa na kama atakuwa amezaliwa alikuwa basi kipindi hicho anachunga watoto wa Mbuzi, kwa kifupi wewe na ukoo wenu wote yaani ukoo wote hakuna mncho mzidi Mbowe hilo unalijua fikaMbowe kahongwa hela na wakenya ahujumu maendeleo ya Tanzania na kamwe hatafanikiwa nchi ipo ktk mikono salama chini ya jemedari amir jeshi mkuu dk Samia Suluhu
Unadhani tumefeli basi ni kutokuwa umakini na kuwajibishana, wao wanaewezaje? kama sio sisi kuendekeza makuzi kazini japo pia teknilojia yetu sio ya kisasa sanaWatu wenyewe hawa hawa wanaoitwa wazawa hawajui kuendesha vitu vyao. Watu hao hao akija mwarabu makelele kama yote. I don't care what color of the skin at the helm, ninachotaka kuona ni efficiency, effectiveness na impact. Tumefeli sisi tujaribu wengine.
Cordless kwani kuna uhusika gani kati ya TEC, Chadema na DP World! Mpuuzi wewe boyaUnapinga umeuona? Kuna siku TEC na CHADEMA waliwahi kuipongeza Serikali hasa Rais akiwa Muislam? Lini waliwahi kupongeza?
Unadhani tumefeli basi ni kutokuwa umakini na kuwajibishana, wao wanaewezaje? kama sio sisi kuendekeza makuzi kazini japo pia teknilojia yetu sio ya kisasa sana
Wewe unaijua familia yangu hayo mapovu uliyotoa inaonyesha kuwa una stress za maisha.Wewe mwenye elimu ya maana unaweza kuta unashikiwa akili, kuna kitu una mzidi Lema? Lema akifa hata leo nchi nzima watajua, wewe zaidi ya Familia yako na ndugua zake nani mwingine atajua? Pita hivi
Dr wewe ulitaka aseme nini wakati hayo ndio maoni yake. Wewe mbuge uliomchagua ameshapitisha sasa unamlaumu lema kwani yeye ndio akili yako mpuuzi mkubwa wewe!lema kuna saa kama amnazo ivi
kulikua na haja gani ya kunita mpuzi ndugu?Dr wewe ulitaka aseme nini wakati hayo ndio maoni yake. Wewe mbuge uliomchagua ameshapitisha sasa unamlaumu lema kwani yeye ndio akili yako mpuuzi mkubwa wewe!
Hakika, na matendo yao tunayopinga ni unyonyaji na tabia za kitumwa🤣🤣"Tuliwapinga Makaburu si kwa sababu ya rangi ya ngozi yao, Bali tuliwapinga kwa sababu ya matendo yao".
By Mwalimu J. K.Nyerere.
Hivyo basi, tunatakiwa kuwapinga Waarabu kutokana na matendo yao lakini siyo kwa sababu ya rangi ya ngozi yao au kutokana na wao kuwa Waarabu.
Maendeleo ya nchi yangu ni hongo tosha tutakayofaidika kizazi na kizaziNa wewe si ukahongwe?
Mbowe huwa haridhiki na hela, mbowe aliwahi uzia chama chake fuso mbovu atashindwa kuhujumu nchi Yule?Mbowe na Maisha nazani hata Baba yako hajazaliwa na kama atakuwa amezaliwa alikuwa basi kipindi hicho anachunga watoto wa Mbuzi, kwa kifupi wewe na ukoo wenu wote yaani ukoo wote hakuna mncho mzidi Mbowe hilo unalijua fika