Godbless Lema: Hatupingi Uwekezaji Bandarini, ila Serikali irekebishe yanayopigiwa kelele na wananchi

Mbowe kahongwa hela na wakenya ahujumu maendeleo ya Tanzania na kamwe hatafanikiwa nchi ipo ktk mikono salama chini ya jemedari amir jeshi mkuu dk Samia Suluhu
Na wewe si ukahongwe?
 
Hakuna tatizo uwekezaji.

Tatizo linakuja pale mkataba unakufunga usiwe huru.

Ni punguani na hayawani tu anayeweza kukubali uwekezaji wa milele wa rasilimali za umma kwa kampuni kisa tu hiyo kampuni ni ya wajomba wako
MKATABA MKATABA MKATABA
 
Mbowe kahongwa hela na wakenya ahujumu maendeleo ya Tanzania na kamwe hatafanikiwa nchi ipo ktk mikono salama chini ya jemedari amir jeshi mkuu dk Samia Suluhu
Mbowe na Maisha nazani hata Baba yako hajazaliwa na kama atakuwa amezaliwa alikuwa basi kipindi hicho anachunga watoto wa Mbuzi, kwa kifupi wewe na ukoo wenu wote yaani ukoo wote hakuna mncho mzidi Mbowe hilo unalijua fika
 
Unadhani tumefeli basi ni kutokuwa umakini na kuwajibishana, wao wanaewezaje? kama sio sisi kuendekeza makuzi kazini japo pia teknilojia yetu sio ya kisasa sana
 
Unapinga umeuona? Kuna siku TEC na CHADEMA waliwahi kuipongeza Serikali hasa Rais akiwa Muislam? Lini waliwahi kupongeza?
Cordless kwani kuna uhusika gani kati ya TEC, Chadema na DP World! Mpuuzi wewe boya
 
Unadhani tumefeli basi ni kutokuwa umakini na kuwajibishana, wao wanaewezaje? kama sio sisi kuendekeza makuzi kazini japo pia teknilojia yetu sio ya kisasa sana

Snababu! Wewe na mamako mkipewa mtaweza Fala wewe!
 
Wewe mwenye elimu ya maana unaweza kuta unashikiwa akili, kuna kitu una mzidi Lema? Lema akifa hata leo nchi nzima watajua, wewe zaidi ya Familia yako na ndugua zake nani mwingine atajua? Pita hivi
Wewe unaijua familia yangu hayo mapovu uliyotoa inaonyesha kuwa una stress za maisha.
 
Dr wewe ulitaka aseme nini wakati hayo ndio maoni yake. Wewe mbuge uliomchagua ameshapitisha sasa unamlaumu lema kwani yeye ndio akili yako mpuuzi mkubwa wewe!
kulikua na haja gani ya kunita mpuzi ndugu?
 
Hakika, na matendo yao tunayopinga ni unyonyaji na tabia za kitumwa🤣🤣
 
Mbowe na Maisha nazani hata Baba yako hajazaliwa na kama atakuwa amezaliwa alikuwa basi kipindi hicho anachunga watoto wa Mbuzi, kwa kifupi wewe na ukoo wenu wote yaani ukoo wote hakuna mncho mzidi Mbowe hilo unalijua fika
Mbowe huwa haridhiki na hela, mbowe aliwahi uzia chama chake fuso mbovu atashindwa kuhujumu nchi Yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…