Yericho Nyerere ni takataka kama kuna wengine wenye constructive mindset siyo hii kituaachane na visasi dhidi ya watu waliokuwa wakimpinga ndani ya chama hicho, lisu aungane na hao watu ili kukijenga chama. aachane kabisa na Mawazo ya kuwatafufia tuhuma au makosa wapinzani wake.
Lile neno alilolisema Mh. Mbowe wanataka kuleta mapinduzi ndani ya chama litatimia.Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.
Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Hekima ni nini na wapi ameonyesha kukosa hekima?Ni mtumishi wa Mungu lakini hana hekima.
Mpumbavu kukuzidi?Yaani siku Lema anakuwa Katibu Mkuu ndio mwanzo wa kifo cha CDM.Hakuna mtu mhuni na mpumbavu kama Lema.
Mnyika sio mbaya, Lema anaweza kupewa nafasi ya Mrema. Msemaji, Mkurugenzi wa mawasiliano wa Chama.Ningeshauri Mnyika aendelee. Amejitahidi sana kusimamia haki.
Team ya sasa ndio itatoa baraza la mawaziri 2025.. Mark this postHuyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
View attachment 3209792
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Hata Isaya alikuwa ni nabii ila akawa na mdomo mchafu.Ni mtumishi wa Mungu lakini hana hekima.
Haijaandikwa ni lazima, tunw viongozi wakubwa walikuwepo dodoma juzi, wana mpaka vitukuu england. Lakin hawajawahi lazimishwa au kuhojiwa kuhusu hiloArudishe familia yake kutoka Canada kabla hajaanza kuwatowa kafara watoto wa maskini kwenye maandano haram.
Unamaanisha wawabambikie kesi? Je itaishia hapo? Hawatakuja kuwa kama sisiemu kuwabambikia makosa watu wengine. Binfasi nashauri CDM wajiepushe na kubambikia watu makosaNi Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.
Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Hii ni ramli kamili, una predict mammbo ya hovyo based on hisia.Sijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.
Muda ni mwalimu mzuri sana, wanaosubili ruzuku zifike majimboni ndio watakuwa wa kwanza kumkataa Lisu.
Tuhuma zote mlizomtuhumu Mbowe zitarudi kwa Lisu.
Kitu pekee atakachofanikiwa Lisu ni kuwatowa kafara vijana wasiokuwa na familia wala hawana cha kupoteza.
Heche anaweza kuwa na busara kuliko Lisu.
Unajiita Dr.Matola PhD ,,iyo PhD ulipata ya kujamba au ya darasan maana naona unaandika kama kama akili Haina kitu Bali mafuta yalio changanikana na makamas ,,!!Bado mnatuletea Wachaga tena?
Kwa nini kife?Ulichokisema ndivyo ilivyo! Ila chama kitafia mikononi mwao
Bado anamawazo mdando ya ukabila ingekuwa hivyo Lema si angemuunga mkono Mbowe mchaga mwenziye?Unajiita Dr.Matola PhD ,,iyo PhD ulipata ya kujamba au ya darasan maana naona unaandika kama kama akili Haina kitu Bali mafuta yalio changanikana na makamas ,,!!
Bado hujasema saga chupa unywe
Kuna mtu alisema Lema asionekane kwenye uwanja wa Mlimani City vinginevyo atashughulikiwaHuyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Lema hafai kuwa Katibu, japo sijui elimu yake. Ila katibu awe mtu mwingine na asibaki Mnyika. Lema apewe nafasi ya ueneze kwa sababu ya confidence na punch kubwa ya kuongea...Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
View attachment 3209792
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu