Pre GE2025 Godbless Lema: Je, pesa za rushwa leo zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa kazi isiyo na mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema kalogwa na mnyampaa... mmachame kumkataa mmachame mwenzake ni maajabu.
 
Huyu mpuuzi nae amekuwa kama kinyonga haeleweki kabisa.
 
Kwani hii ni mara ya kwanza mkutano mkuu kufanyika? Wewe uko ughaibuni hujui yanayoendelea ndani ya Chadema umeamua tu kuchukua upande.
Kwenye kichwa chako situation ya 2019 na 2025 sawa.

Ruzuku ya chama sawa?

Income imeshuka, lakini expenditure ziko pale pale, plus inflation adjustments (bei ya guest, nauli, chakula, usafiri vyote vimepanda).

Changia na wewe, naah mimi siwezi Iła nataka uongozi.

Wafuasi wa Lissu akili zenu zinawatosha wenyewe.

Kosa kubwa atakalofanya Mbowe ni kumuachia huyo taahira Lissu chama, hana clue ya changamoto za finance ya chama.
 
Unathibitisha kuwa hazikutoshi kichwani, una Akili za kuvukia barabara tu, acha mihemko wewe MWANAMKE!!
🤔🤔🚴🚴
Usingeweza andika kingine zaidi ya hiko, ndio mwisho wa akili zako (I get that).

Hakuna merit ya nilichoandika kwenye hoja (ndio uwezo wako).

Tuna sababu za msingi wengine tunapotaka kuona nchi wanapewa wa kunyoosha kweli kweli watanzania akili zenu zikae sawa.
 
Wewe ni taahira usiyejua kilichoko huku. Mbowe siye anayemuachia chama Lissu bali wajumbe 1200 ndiyo watafanya maamuzi hayo,hivi shule ulienda kusomea ujuha?
 
Jibu ni jepesi sana! CHADEMA iliyolala ndiyo tiketi kwa CCM kuendelea kula keki ya taifa.

Lazima CCM watumie hela ili wapatikane Viongozi watakayoilaza CHADEMA maana hao ndo watahakikisha usalama wa CCM katika kuendelea kuwanyonya Watanzania.
 
Wewe ni taahira usiyejua kilichoko huku. Mbowe siye anayemuachia chama Lissu bali wajumbe 1200 ndiyo watafanya maamuzi hayi,hivi shule ulienda kusomea ujuha?
Na hao wajumbe wanafika kwenye huo mkutano na kurudi makwao kwa kupaa na ungo, wakifika huko wanalala barabarani na kula kwa kuokota majalalani.

Si ndio

Ukijiuliza nani anagharamia hiyo shughuli na kama ruzuku ya CDM inatosha kwa sasa, ndio utajua akili zako zilivyofinyu.

Unadhani hayo ni mambo ya ‘abracadabra’ tu yanatokea bila budgetary plannings
 
Dr slaa kazungumzia hilo suala Twitter la hela kuingia chadema. Tetesi toka Twitter zinasema kuna asali nono ya 12B imeingia kwa mtu fulani. 12B ni hela nyingi Lazima kiumane 🤣
 
Ukimya wa Lema nimeupenda Sana,anajielewa.

Hata Heche alipovunja ukimya aina za kina Re'tired waliwaita "takataka."

Ila list nzima ya wahaini inajulikana:

Your browser is not able to display this video.


Kama ilivyo wana watiifu wakiwamo wale wa sala ya kitubio.

Zingatia hao wahaini ndiyo chaguo la watu!
 
mjinga mmoja hivi matyako we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…