Kwani Mbowe akiwa nje ya nafasi ya mkt akawa mfadhili, Lissu akiwa mkt Kuna tatizo Gani hapo?Kwenye kichwa chako situation ya 2019 na 2025 sawa.
Ruzuku ya chama sawa?
Income imeshuka, lakini expenditure ziko pale pale, plus inflation adjustments (bei ya guest, nauli, chakula, usafiri vyote vimepanda).
Changia na wewe, naah mimi siwezi Iła nataka uongozi.
Wafuasi wa Lissu akili zenu zinawatosha wenyewe.
Kosa kubwa atakalofanya Mbowe ni kumuachia huyo taahira Lissu chama, hana clue ya changamoto za finance ya chama.
Ndio sababu Niko online! UnajingineUnachangia uzi upi?
CHADEMA inanuka rushwa?View attachment 3198366
====
Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili ,
Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na Vitongoji ,
Je hizo pesa sasa zinatoka wapi ? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa kazi isiyo hata na mshahara ?
CHADEMA sio duka wala Bar ni taasisi ya walioumizwa Wajumbe sikilizeni , hiki CHAMA kina damu za rafiki zenu , maumivu makubwa na mateso kwa watu wengi,
Msilaani maisha yenu kwa starehe na rushwa za muda mfupi.
Sasa basi wakileta pesa kula , kunywa halafu waadhibu katika boksi la kura.
Nyie sio Blue Band wakubebwa kama Maboksi.
Sikilizeni, Upinzani ni tabia njema na sio rangi za nguo.
Msiue matumaini ya Taifa kwa kushindwa kutofautisha tabia zetu na CCM.
Godbless Lemma,
Kuliko CCM?CHADEMA inanuka rushwa?
Kama CCMCHADEMA ni genge la wapigaji tu
12b imetoka hazina,ni kodi zetu. Hata hayo mamia ya mamilioni anayogawa kwa matapeli kima bulldozer wa Kawe na yule Kuhani Moses juzi kapewa 100m zote ni kodi zetuKama ni kweli basi mimi ningetarajia Watanzania wote wenye akili timamu washituke sana kuwa hizo 12B ZIMETOKA WAPI? Hilo ndilo linatakiwa kuwa swali namba moja - kabla ya mengine yote!
Hakuna mtu mwenye kipato halali Tanzania cha kumuwezesha kugawa rushwa ya 12B. Hata kwa mafisadi sio rahisi kutoa kiasi hicho toka kwenye mapato yao. Hata taasisi zenye bajeti kubwa zikitoa kiasi hicho zitatetereka na hata kuweza kufa.
Kama kweli hela za namna hiyo zinatolewa kama hongo halafu watu wanahangaika na nani “KANUNULIKA” kwenye siasa badala ya huyo “MWIZI MKUU” Basi kweli hii ni nchi ya maiti zinazotembea.
CCM sio Upinzani hata wakitoa wanazoKuliko CCM?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.CHADEMA ni genge la wapigaji tu
Wanatoa wapi,kama sio Kodi zetuCCM sio Upinzani hata wakitoa wanazo
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
mtumishi amenena!Ujumbe mzuri, wajumbe ufanyieni kazi msituangushe.
Kwanza turudi kwenye uhalisia wa costs za uchaguzi hao wajumbe wanapaa kwa rukuzu ya CDM wanayopata au kunahitajika external funding source ili uchaguzi ufanyike.Ishu ni kuwa unatetea jambo usilolijua,sisi tupo humu ndani tunajua na tunaelewa kuwa kwa sasa Mbowe ni project ya CCM ndiyo maana maccm mnampigania sana mtu wenu. Ila atanyooshwa tarehe 21,hel zitaliwa na kura atanyimwa hadi sana tunajua hadi idadi ya kura zetu na kila atakayetupigia kura tunamjua. Pigeni kelele muwezavyo lakini chama kitabaki kuwa salama.
And DeliveredMessage sent!
.Lakini Lissu hana leadership qualitiesKwanza turudi kwenye uhalisia wa costs za uchaguzi hao wajumbe wanapaa kwa rukuzu ya CDM wanayopata au kunahitajika external funding source ili uchaguzi ufanyike.
Pili ukiambiwa ulete hesabu za makusanyo ya (hadhara + ruzuku - wages - admin cost - election costs - other cost) sidhani kama unazo hizo info za ku-justify hoja yako.
Ni hivi mimi ninataka kuona upinzani unaoimarika na Lissu sio mtu sahihi; Mbowe kachelewa tu kutengeneza potential successor. Lakini Lissu hana leadership qualities.
Sometimes ‘axis of adults’ inabidi watoe opinion ya madhara ya maamuzi na wanapoweza zuia wanafanya hivyo.Kwani Mbowe akiwa nje ya nafasi ya mkt akawa mfadhili, Lissu akiwa mkt Kuna tatizo Gani hapo?
Yep.Lakini Lissu hana leadership qualities
Weka hapa tupate nondo mkuuYep
Naweza kukutajia mapungufu yake attaching his behaviour na leadership theories kukuonyesha deficiencies zake theoretically.
Sio kiongozi