Kwamba mtoto wa Mbowe akiandaliwa, aweza kuwa mrithi sahihi?Sometimes ‘axis of adults’ inabidi watoe opinion ya madhara ya maamuzi na wanapoweza zuia wanafanya hivyo.
Pasipo na uwezo wao it’s fate, Lakini Lissu plan zake ni zakufirika tu not game changer kwa sababu hana hiyo public support anayodhani (case study ni mikusanyiko ya mikutano yake baada ya kupewa kibali), worst ameonyesha sio team player and he lacks leadership skills.
Mengine ni ya wajumbe kuamua; hapa tunatoa opinion tu, Mbowe aandae warithi sasa; Lakini Lissu hana qualities za leadership.
ImpossibleKwamba mtoto wa Mbowe akiandaliwa, aweza kuwa mrithi sahihi?
Story ndefu kidogo kiongozi, kuilezea kwa haraka haraka; ila Lissu ana mapungufu mengi ya kiuongozi.Weka hapa tupate nondo mkuu
Ajifunze kwa CCM, unajua hawa hakina Bashungwa, Mwigulu usione wapo tu huko juu. Wametengenezwa na pengine 60% ya mawaziri wao wamefika hapo kwa mtindo huo.Kwamba mtoto wa Mbowe akiandaliwa, aweza kuwa mrithi sahihi?
Hata kifamilia ninahisi Kuna shidaStory ndefu kidogo kiongozi, kuilezea kwa haraka haraka; ila Lissu ana mapungufu mengi ya kiuongozi.
Hata kifamilia ninahisi Kuna shida
Halafu oktoba ikifika atarudi kubahatisha ubunge huku familia take ikibakia Canada, akikosa atarudi Canada , akishinda ubunge atakaa nchini mguu mmoja na mguu mwingine Canada.Na wewe utukome, nani akatae hela hii January? Wewe kila mwezi unavuta maelfu ya dola kutoka kwa wazungu kwa hifadhi ya ukimbizi.
Yaani baada ya mkutano nikiwa narudi nyumbani, lazima nipitie mifuko ya simenti na bati
Kwa lugha tu uliyoitumia katika kuwasilisha hoja yako, wewe siyo mzima. Afya yako ya akili ni muhimu sana, wahi matibabu, unaweza kuokoa afya ya akili yako.Ni watu walioshiwa fikra, miaka yote CDM imekuwa ikilazimika kutoa posho watu kuhudhuria hivi vikao vya uchaguzi ili democracy ifanye kazi.
Wao wamegoma kuchangia (wakipewa hela na wazungu wanaweka kibindoni). Sasa hivi wanataka kutumia hiyo fursa baada ya wenzao kutafuta hela kuita; hongo.
CDM isipotoa posho za wajumbe na kuwataka waende wenyewe kwa hela zao, wasiokuwa na hela wasipofika, quorom isitoshe, akishinda wasiemtaka. Mataahira kama Lissu et al watasema kashinda kisa wajumbe wengine hawakufika kwenye mkutano.
Damn if you do? damn if you don’t.
Kosa kubwa atakalofanya Mbowe ni kuwaachia chama hawa mataahira; hawana leadership acumen/skills za kuendesha taasisi.
Sasa hivi unaona kumbe Mbowe alikuwa kiungo mkubwa sana, kwa stability ya CDM.
Na kweli, inaonekana umeliwa sana.Halafu oktoba ikifika atarudi kubahatisha ubunge huku familia take ikibakia Canada, akikosa atarudi Canada , akishinda ubunge atakaa nchini mguu mmoja na mguu mwingine Canada.
Hakika wajinga ndio waliwao.
Ingetoka wapi ingekuwa kizuri zaidi?Na kibaya zaidi ni kuwa hiyo hela inatoka CCM
Wewe unaona hivyo,lakini wanachama wanaona Lissu ndiye chaguo bora kupambana na aina ya siasa zinazoendeshwa na ccm kwa sasa,kwa sasa kupambana na CCM ni sawa na harakati za kudai uhuru,hawa watu wamegeuka kuwa makaburu weusi kwani ccm siyo chama cha siasa tena bali ni chama dola ,kupambana na CCM ni kupambana na serikali. Mbowe amefanya kazi nzuri iliyotukuka kwa wakati lakini kwa sasa tunahitaji approach tofauti kabisa. Anyway watakaloamua wajumbe ndiyo tutakwenda nalo na naamini baada ya uchaguzi Chadema itakuwa moja japo kuna kazi ya kutibu majerahaKwanza turudi kwenye uhalisia wa costs za uchaguzi hao wajumbe wanapaa kwa rukuzu ya CDM wanayopata au kunahitajika external funding source ili uchaguzi ufanyike.
Pili ukiambiwa ulete hesabu za makusanyo ya (hadhara + ruzuku - wages - admin cost - election costs - other cost) sidhani kama unazo hizo info za ku-justify hoja yako.
Ni hivi mimi ninataka kuona upinzani unaoimarika na Lissu sio mtu sahihi; Mbowe kachelewa tu kutengeneza potential successor. Lakini Lissu hana leadership qualities.
Shukuru nakuheshimu ndio maana uwa hata si-blast post zako za ujinga unazoweka humu.Kwa lugha tu uliyoitumia katika kuwasilisha hoja yako, wewe siyo mzima. Afya yako ya akili ni muhimu sana, wahi matibabu, unaweza kuokoa afya ya akili yako.
Good morning 👋, till next time.Wewe unaona hivyo,lakini wanachama wanaona Lissu ndiye chaguo bora kupambana na aina ya siasa zinazoendeshwa na ccm kwa sasa,kwa sasa kupambana na CCM ni sawa na harakati za kudai uhuru,hawa watu wamegeuka kuwa makaburu weusi kwani ccm siyo chama cha siasa tena bali ni chama dola ,kupambana na CCM ni kupambana na serikali. Mbowe amefanya kazi nzuri iliyotukuka kwa wakati lakini kwa sasa tunahitaji approach tofauti kabisa. Anyway watakaloamua wajumbe ndiyo tutakwenda nalo na naamini baada ya uchaguzi Chadema itakuwa moja japo kuna kazi ya kutibu majeraha
siasa ni sayansi sasa wewe kaa unajiuliza kwanini ccm watoe hela kwa mboweNa kibaya zaidi ni kuwa hiyo hela inatoka CCM
Kwanini wanachama wanaruhusu Hilo jambo la ccm kumfadhili Mbowe ilihali inafahamika wazi lengo la ccm ni Nini Kwa CDM?Unajua wewe una challenge jambo usilolijua,hoja ni CCM kutoa fedha kumfadhili Mbowe na kambi yake,jee Chadema chini ya Mbowe itakuwa tena chama au kigango tu cha CCM? Na si kweli kuwa chama hakina uwezo wa kuendesha mkutano mkuu lakini hela zimepigwa hapo HQ na watu wanajua ndiyo maana mpaka leo hawasemi hela za join the Chain ziko wapi. Watu siyo wajinga kama unavyowachora kwenye ubongo wako.
Be blessedGood morning 👋, till next time.
Sijiulizi bali naelewa na ndiyo maana naona kumchagua tena Mbowe ni kuigeuza Chadema kuwa kigango cha CCM.siasa ni sayansi sasa wewe kaa unajiuliza kwanini ccm watoe hela kwa mbowe
Vijana wa Mbowe mkitajiwa Rushwa mnakuwa wakali, Shida nini?Wewe na Lissu ni sawa na wakimbizi!
Leo unazungumzia ukiwa nchi Gani?
Bado wewe ni bare head,over 🤔🤔🚴🚴Usingeweza andika kingine zaidi ya hiko, ndio mwisho wa akili zako (I get that).
Hakuna merit ya nilichoandika kwenye hoja (ndio uwezo wako).
Tuna sababu za msingi wengine tunapotaka kuona nchi wanapewa wa kunyoosha kweli kweli watanzania akili zenu zikae sawa.