Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya au kuna nafasi kubwa zaidi ndani ya chadema anakwenda kulitumikia?
Je,
mahusiano yake moto moto na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa yaweza ndio kua ndio chanzo cha yote?🐒
Mungu Ibariki Tanzania