Gentleman Utapata Ujira Wako Endelea Kuandika Propagandasifahamu kuhusu hilo gentleman 🐒
Ikiwezekana Ajinyonge kabisa Au Anywe Sumu na Afe Tu Maana hana Faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni Zaidi ya usaliti kwa Taifa letu
Lema ana vyeo gani CDM?Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya au kuna nafasi kubwa zaidi ndani ya chadema anakwenda kulitumikia?
Je,
mahusiano yake moto moto na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa yaweza ndio kua ndio chanzo cha yote?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Lema na genge lake wamewachuuza watoto wa watu wameuawa bure tu 29 October, eti sasa anajidai kutaka kuondoka baada ya kupiga pia pesa ya tone tone, siasa za bongo zina unafiki mwingi, na huyu na mangi mwenzake Mbowe ndio wanafiki wahed, aende tu nae wala hakua mwanasiasa aliingia siasa kupiga pesa tu pimbi huyu.Gentleman,
kwahiyo unakasirikia uhuru na haki ya mTanzania kujiondoa chamani na kujiunga na chama chochote cha siasa nchini?🐒
Anahamia CCM Kafika Bei 😂😄😆unadhani lema kaona nini mpaka kufikia hatua hiyo?🐒
Mchana CCM, Usiku CDMok.,
kwa kuna changamoto kwa maoni yako gentleman?![]()
Why are you so itchy ...unakua kama mwanamke aiseee, blood foolHaijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya au kuna nafasi kubwa zaidi ndani ya chadema anakwenda kulitumikia?
Je,
mahusiano yake moto moto na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa yaweza ndio kua ndio chanzo cha yote?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wengine wameiparamia treni kwa mbele, hivi vyama ni ofisi za TISS na vina miwaya kama 'mti wa krismasi'! 😅Ukishakula hela za watu ni majanga mazito kama ningemshauri Lema angejituliza huko huko siku akienda Chauma au akafata njia ya kwenda CCM ndio amekwisha kabisa atakua kama Yericko au Mbowe na akina john mrema....Wanasiasa wa Tanzania fanyeni biashara ili muwe na nguvu ya uchumi haya mambp ya kuwa mnakula vihela mnauza utu na heshima yenu yanatesa sana...
Mtu kama Mbowe nani anamheshimu saiv amegeuka kuwa chawa kumbe miaka mingi aliwachuuza watu hakua mpinzani..kuna watu wengi mtahama hicho chama chenu ila ukweli kitabakia maana kuna moles wengi sana humo wanareport wanalipwa ni aibu sana....
Mjumbe wa kamati kuu ni CHEO?vyote alivyonavyo mpaka kamati kuu taifa analenga kujivua![]()
Ikitokea kesho akapokelewa ccm utakuja na wimbo mpya. Siasa hizi, hahaha.Ikiwezekana Ajinyonge kabisa Au Anywe Sumu na Afe Tu Maana hana Faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni Zaidi ya usaliti kwa Taifa letu