Ukishakula hela za watu ni majanga mazito kama ningemshauri Lema angejituliza huko huko siku akienda Chauma au akafata njia ya kwenda CCM ndio amekwisha kabisa atakua kama Yericko au Mbowe na akina john mrema....Wanasiasa wa Tanzania fanyeni biashara ili muwe na nguvu ya uchumi haya mambp ya kuwa mnakula vihela mnauza utu na heshima yenu yanatesa sana...
Mtu kama Mbowe nani anamheshimu saiv amegeuka kuwa chawa kumbe miaka mingi aliwachuuza watu hakua mpinzani..kuna watu wengi mtahama hicho chama chenu ila ukweli kitabakia maana kuna moles wengi sana humo wanareport wanalipwa ni aibu sana....