Tetesi: Godbless Lema kujivua nafasi zake zote za uongozi CHADEMA

Afanye fasta kabla hajavuliwa. Walikuwepo wakina mbowe,mtei
Anajua Lisu anatoka anakuja kudili nae soon.
Kazi ni kipimo cha utu.
 
Afanye fasta kabla hajavuliwa. Walikuwepo wakina mbowe,mtei
Anajua Lisu anatoka anakuja kudili nae soon.
Kazi ni kipimo cha utu.
ok.
unadhani ni kinaweza kua ni kuchochea cha hatua hiyo ya lema?🐒
 
Lema ana vyeo gani CDM?
 
Gentleman,
kwahiyo unakasirikia uhuru na haki ya mTanzania kujiondoa chamani na kujiunga na chama chochote cha siasa nchini?🐒
Lema na genge lake wamewachuuza watoto wa watu wameuawa bure tu 29 October, eti sasa anajidai kutaka kuondoka baada ya kupiga pia pesa ya tone tone, siasa za bongo zina unafiki mwingi, na huyu na mangi mwenzake Mbowe ndio wanafiki wahed, aende tu nae wala hakua mwanasiasa aliingia siasa kupiga pesa tu pimbi huyu.
 
Why are you so itchy ...unakua kama mwanamke aiseee, blood fool
 
Wengine wameiparamia treni kwa mbele, hivi vyama ni ofisi za TISS na vina miwaya kama 'mti wa krismasi'! 😅
 
Ikiwezekana Ajinyonge kabisa Au Anywe Sumu na Afe Tu Maana hana Faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni Zaidi ya usaliti kwa Taifa letu
Ikitokea kesho akapokelewa ccm utakuja na wimbo mpya. Siasa hizi, hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…