King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Sijui ndiyo maana nimeuliza mkuu ,maana umesema anataka kujiovua vyeo vyake vyote....Mimi sijui kama jamaa ana vyeo huko CDM ,ndiyo nitakata kujua.ni nafasi tu ya uongozi na sio cheo right?
Kama hii taarifa ni ya kweli, basi haya ni matokeo hasi ya CHADEMA kujifungamanisha na akina Mange Kimambi.Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya au kuna nafasi kubwa zaidi ndani ya chadema anakwenda kulitumikia?
Je,
mahusiano yake moto moto na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa yaweza ndio kua ndio chanzo cha yote?π
Mungu Ibariki Tanzania
machawa waongo waongo wewe umejuaje? cheo chake ni mjumbe tu!!! machawaHaijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya au kuna nafasi kubwa zaidi ndani ya chadema anakwenda kulitumikia?
Je,
mahusiano yake moto moto na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa yaweza ndio kua ndio chanzo cha yote?π
Mungu Ibariki Tanzania
Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya au kuna nafasi kubwa zaidi ndani ya chadema anakwenda kulitumikia?
Je,
mahusiano yake moto moto na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa yaweza ndio kua ndio chanzo cha yote?π
Mungu Ibariki Tanzania
Katuga: Waheshimiwa tunaomba break!Kama hii taarifa ni ya kweli, basi haya ni matokeo hasi ya CHADEMA kujifungamanisha na akina Mange Kimambi.
Mtu kama Mange alionekana ni rasilimali kwa CHADEMA kutokana na tabia yake ya kuwaandama viongozi wa CCM na serikali kwa maneno ya umbea.
Kwa maneno hayo hayo ya umbΓ uia, juzi hapa dada kawapelekea bundi CHADEMA, sasa wanaiona ngondo!
Any way, that is what it is!
Vyote vingapi?? Ujumbe aliteuliwa na Lissu na sasa taarifa ni kwamba anataka awe Mkiti yai awe makamo...vyote alivyonavyo mpaka kamati kuu taifa analenga kujivua
Sio mbaya ikitokea ivo aende zake chaumma maisha yaendelee....Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya au kuna nafasi kubwa zaidi ndani ya chadema anakwenda kulitumikia?
Je,
mahusiano yake moto moto na Makamu mwenyekiti wa chadema taifa yaweza ndio kua ndio chanzo cha yote?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ikiwezekana Ajinyonge kabisa Au Anywe Sumu na Afe Tu Maana hana Faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni Zaidi ya usaliti kwa Taifa letu
Ni mkazi wa Arusha , ambaye muda mrefu alifaa kuwa Mbunge wa Arusha sema tu aliamua kumuachia Lema atambe. Amekuwa Katibu wa CHADEMA Arusha na pia Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini kwa muda mrefu. Kwa Sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara.ndio nani huyo pale Chadema gentleman?π
okey,Ni mkazi wa Arusha , ambaye muda mrefu alifaa kuwa Mbunge wa Arusha sema tu aliamua kumuachia Lema atambe. Amekuwa Katibu wa CHADEMA Arusha na pia Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini kwa muda mrefu. Kwa Sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara.