Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

Calist anachukua nafasi ya lema bunge lijalo kupitia ccm.diwani wa sombetini ally banaga atachukua nafasi ya calist kupitia ccm,ngoja akamilishe mchakato wa kuhamia ccm.
 
Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.

Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA.

Inasemekana Godbless Lema alifanya mbinu zote halali na haramu ili kuhakikisha rafiki yake anateuliwa na CHADEMA kuwa mgombea wa kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha kupitia CHADEMA pamoja na kwamba alishindwa katika kura za maoni ndani ya CHADEMA.

Inasemekana walianza kutofautiana baada ya kuzidiana na kudhulumiana kwenye ''madili'' yatokanayo na uongozi wa Jiji. Hii inaonyesha urafiki wao wa karibu ulikuwa wa kimaslahi (tumbo) na sio kiitikadi na falsafa!

Maelezo ya Lema yanaonyesha kuna tatizo la kutoaminiana ndani ya CHADEMA!

Ni nani mwingine atafuata kuondoka CHADEMA baada ya Calist kujiunga CCM kama ambavyo Lema anabainisha?
Lema Aache kujifariji kwa maneno ya kwenye Bible.. hizi Ni siasa siyo yesu kiukweli Ni pigo kubwa kwa meya kuhama chama Tena akitokea jiji mhimu kwa kambi ya upinzani Arusha..
Na bila shaka Ameumia Sana kulipoteza Hilo jembe ndo maana Hadi kaamua kutweet ili kufikisha hisia zake za kuguswa na huo mshituko kwa watanzania..
So sad!! So Sad!!! So sad!!
 
Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.

Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA.

Inasemekana Godbless Lema alifanya mbinu zote halali na haramu ili kuhakikisha rafiki yake anateuliwa na CHADEMA kuwa mgombea wa kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha kupitia CHADEMA pamoja na kwamba alishindwa katika kura za maoni ndani ya CHADEMA.

Inasemekana walianza kutofautiana baada ya kuzidiana na kudhulumiana kwenye ''madili'' yatokanayo na uongozi wa Jiji. Hii inaonyesha urafiki wao wa karibu ulikuwa wa kimaslahi (tumbo) na sio kiitikadi na falsafa!

Maelezo ya Lema yanaonyesha kuna tatizo la kutoaminiana ndani ya CHADEMA!

Ni nani mwingine atafuata kuondoka CHADEMA baada ya Calist kujiunga CCM kama ambavyo Lema anabainisha?
Shubaamit mtanyoroka tu mnatulogea kiborolonyi tunawalogea chato mambo ni hiviii [emoji83]
 
CCM ibadirike.
Ihangaike kuwapata wananchi watakaowapigia kura badala ya kuhangaika kuwapata viongozi waliopigiwa kura.
Kiongozi kama Lazaro hawezi kubadirisha mawazo yangu kwenye sanduku la kura ikiwa utendaji wa chama hicho haujakidhi mahitaji yangu ya kimaisha.
Nadhani Kanuni za kisiasa hazina mipaka kwa vyama vya siasa katika kutafuta wapiga kura!
 
Kukiondoa CCM kwa upinzani huu wa vyama vya saccos itachukua miaka 100 mkuu!!
Kama walipata Kura million 6 2015 kinachoshindikana ni nini?? Kama walipata wabunge 120+ kinachoshindikana ni nini?? Kutoka halmashauri 5 mpaka 30 kipi hakiwezekani??

CCM haikuwa na Nguvu kama KANU mkuu ila leo KANU ina wabunge wasiozidi 10 nchi nzima.

So hakuna lisilowezekana, na kwenye siasa mwaka mmoja ni mkubwa sana usije shangaa hata magufuli akagombea kupitia ACT!! Na Mbowe akagombea kupitia CCM! Politics is unpredictable so tusifanye conclusions mapema.
 
Nafikiri mkuu hujajua kura za Chadema za 2015 zilipatikana vipi. Kwa taarifa yako nyingi zilikuwa za wanaccm waliomfuata Mh. Lowassa na akina Rostam. Utaamini haya mwaka 2020 kama Chadema watapata hata nusu ya kura walizopata 2015!
Uchaguzi serikali za mtaa kwa Mitaa iloyopigikwa kura upinzani ulipata 38% sasa ina tofauti gani na kura za lowassa 2015??

Nachosema ni hiki whether it was lowassa or magufuli kama wapinzani walizoa hizo kura million 6 baso inaonyesha kuwa inawezekana kuitoa CCM, imagine tume huru ingekuwepo!! Nadhani leo hii magufuli angekuwa KUB.
 
Nafikiri mkuu hujajua kura za Chadema za 2015 zilipatikana vipi. Kwa taarifa yako nyingi zilikuwa za wanaccm waliomfuata Mh. Lowassa na akina Rostam. Utaamini haya mwaka 2020 kama Chadema watapata hata nusu ya kura walizopata 2015!
Tunajua kuwa mnategemea mbeleko ya NEC na mabomu ya polisi,bila hivyo CCM haina ubavu wa kushinda uchaguzi wowote.
 
Bananga kuna Kila dalili zote za yeye kuhamia CCM... Maana chadema mnafigisu sanaaa, majungu na fitina baada ya yeye kuchukua form ya kugombea uenyekiti wa kanda mmeanza kumnanga
 
Bananga akiwa makini hataweza wala kumudu kundelea kuwa CHADEMA; atahamia CCM. Muda utasema.
 
CCM ibadirike.
Ihangaike kuwapata wananchi watakaowapigia kura badala ya kuhangaika kuwapata viongozi waliopigiwa kura.
Kiongozi kama Lazaro hawezi kubadirisha mawazo yangu kwenye sanduku la kura ikiwa utendaji wa chama hicho haujakidhi mahitaji yangu ya kimaisha.
Mwenyekiti wa sasa wa ccm akili hii ya kuwaza namna hii hana
 
Wao ndo wanahangaika sio ccm kakak

Back
Top Bottom